Paa
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 1,462
- 2,935
Siku za jumapili mchana huwa ninapata njaa kali, na ninakua na appetite ya haja ndio maana huwa
Binafsi napenda kula pilau ambayo imechanganywa na nyama nyingi humohumo(sio zile za mchuzi) then kuwe na kachumbari na FANTA YA BARIDI na mchicha. Hivyo tu simple
Vipi wewe unapendelea chakula gani kula jumapili mchana?