Tujuzane Unapenda kula chakula gani siku za jumapili mchana?

Mie mzima kabisa...Hamwonekani humu au sijui mimi ndiye sionekani!

huyu mzee babu yenu jukwaani kapotelea wapi?
Tupo Kaka Masai saa ingine kuparangana na maisha ndio kunafanya tukosekane humu. Japokuwa na wewe pia adimu.

Yupo ila naonaga Post zake asubuhi tu sa sijui ndio anatafuta grisi baada ya hapo au mie ndio napishana naye.

CC. Babu Asprin.
 
.......
 
J2 siku ya kivivu kupika. ..huwa natafutaka safari nikale kwa watu Daby utanikaribishi Leo?
 
Tupo Kaka Masai saa ingine kuparangana na maisha ndio kunafanya tukosekane humu. Japokuwa na wewe pia adimu.

Yupo ila naonaga Post zake asubuhi tu sa sijui ndio anatafuta grisi baada ya hapo au mie ndio napishana naye.

CC. Babu Asprin.
Nimeambiwa unaniita. Ni kweli?
 
Dah...chips dume na juice ya ukwaju...burdani sana...[emoji41]
 
Kumbe nilimdanganya eeee. Pole basi babu. 😂😂😂
Pole yake yeye. Siku nyingine njemba ikiniulizia ikaushie. Mi napenda kuuliziwa na wachuchu tu. Hivi kwanini wewe huwa huniulizii?
 
Back
Top Bottom