Tujuzane Unapenda kula chakula gani siku za jumapili mchana?

Tujuzane Unapenda kula chakula gani siku za jumapili mchana?

Paa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
1,462
Reaction score
2,935
Siku za jumapili mchana huwa ninapata njaa kali, na ninakua na appetite ya haja ndio maana huwa

Binafsi napenda kula pilau ambayo imechanganywa na nyama nyingi humohumo(sio zile za mchuzi) then kuwe na kachumbari na FANTA YA BARIDI na mchicha. Hivyo tu simple

Vipi wewe unapendelea chakula gani kula jumapili mchana?
 
Ndo ninachpenda
20180913_225559.jpg
 
Duuuh! Kweli Jumapili ni siku ya watu kula nyama. Maana inaongoza kwa walaji.

Endeleeni kutiririka jamaani.👂👂👂👂👂👂naskiza. 😂😂😂😂😂😂
 
Mpaka hapa naona nyama inaongoza. Endeleeni kutiririka jamaani.

[emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101]naskiza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaenda nyama eeh?
 
Hahahahaaaaa. Kama nakuona kaka. Yabidi tuje tupange aiseee.

Mzima lakini?
Mie mzima kabisa...Hamwonekani humu au sijui mimi ndiye sionekani!

huyu mzee babu yenu jukwaani kapotelea wapi?
 
Back
Top Bottom