Tupo Kaka Masai saa ingine kuparangana na maisha ndio kunafanya tukosekane humu. Japokuwa na wewe pia adimu.Mie mzima kabisa...Hamwonekani humu au sijui mimi ndiye sionekani!
huyu mzee babu yenu jukwaani kapotelea wapi?
Yaani wewe hupiki. ..wala Sembe tu?Sembe Na dagaa la mwanza..
Sijui kupika B labda unifunzeYaani wewe hupiki. ..wala Sembe tu?
Tutajifunza wote.Sijui kupika B labda unifunze
Hehee mafunzo yanaanza link, vitu vinavyohitajika je?Tutajifunza wote.
Si Twala wenyewe
Sembe na dagaaHehee mafunzo yanaanza link, vitu vinavyohitajika je?
Nimeambiwa unaniita. Ni kweli?Tupo Kaka Masai saa ingine kuparangana na maisha ndio kunafanya tukosekane humu. Japokuwa na wewe pia adimu.
Yupo ila naonaga Post zake asubuhi tu sa sijui ndio anatafuta grisi baada ya hapo au mie ndio napishana naye.
CC. Babu Asprin.
Hahahaaa. Sawa Babu. Nilimwambia huwa nakuona mida ya asubuhi asubuhi pekee. πππππHaya mwambie bado niponipo sana. Kwani we ulimjibuje?
Sasa kwanini uliamua kumdanganya?Hahahaaa. Sawa Babu. Nilimwambia huwa nakuona mida ya asubuhi asubuhi pekee. πππππ
Kumbe nilimdanganya eeee. Pole basi babu. πππSasa kwanini uliamua kumdanganya?
Pole yake yeye. Siku nyingine njemba ikiniulizia ikaushie. Mi napenda kuuliziwa na wachuchu tu. Hivi kwanini wewe huwa huniulizii?Kumbe nilimdanganya eeee. Pole basi babu. πππ
Anza mambo sasa..Sembe na dagaa