Tujuzane Unapenda kula chakula gani siku za jumapili mchana?

Tujuzane Unapenda kula chakula gani siku za jumapili mchana?

FRIED FROG RECIPE

1537090555625.png
 
Napenda Kula "LIKAYABO" aka WALI NA SOMBE na LUPILIPILI MAAAA NA LUCHUMVI MAAA INAKOLEA KO SINGO.
 
Biriani na glass kadhaa za Jack Daniel au Red Label kupunguza shibe.
 
Mim siku ya j2 utanipata kwenye Mandy nikishushia na juice ya Bungo.
 
Back
Top Bottom