Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Jamani tusimulieni basi mikasa mizima nasi tufurahi!Nilijuta 😜
Enhe, ikawaje mkuu? 😃😃😁😜Eti fanta buku chupa hiihii ya kupasuka
Bahati yao nilikuwa na pisi kinyume na hapo ningeweka 600 chini ya chupa huku ikiwa imebaki kidogo ya kujitetea nikishtukiwa Mimi yuuuuleEnhe, ikawaje mkuu? 😃😃😁😜