Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mwizi atakuwa kameza hirizi ya Simba. Iweje watu wote tumsikilize yeye?Leo katuletea thread ya mwizi😀😀
Salute MKUUMuch love and respect to you
Amekuwa mtu wa vituko😃😃Leo katuletea thread ya mwizi😀😀
2011Habari wana jamvi,
Moja kwa moja kwenye mada, binafsi nilianza kuisikia JamiiForums 2012 na kipindi hicho simu zililokua zinasapoti internet nyingi ni OS, na JAVA phones japo android zilikuepo ila too expensive by that time.
Ni mpenzi wa riwaya nakumbuka rafiki yangu aliniambia riwaya zinatumwa JF nikashawishika kufungua ID lakini nikasahau password nikafungua id tena ikapotea, na kwa sasa ninayo hii kiukweli JF inanifaa sana nimejifunza mengi kupitia JF nimegundua JF ina vitu vingi zaidi ya riwaya experts wa kutosha. JF is the great place to learn.
Wewe je tujuze ulianza lini kutumia JF? Kipi kilichokuvutia.
Le mutuz yule wa instagram?
Kumbe alikuwa anatumia JF kwa ID gani?View attachment 1726794 Huyo huyoooooo!
Mwenzako bado post mbili tatu niwe Platnum Member sijui utafika lini?
Ulichelewa sana my friendOh, thank you.
23OCT19.
Sijachelewa sana lakini.Ulichelewa sana my friend
Halafu message mia saba nyie ndio mtakuwa usalama wa taifaNilijiunga 2009 ikiitwa JAMBO FORUM.
Kumbe tuko na wajukuu zetu huku2009 bado nilikua toddler[emoji23]
Una post 700 tu duuuh.Nilijiunga 2009 ikiitwa JAMBO FORUM.