[emoji2][emoji2][emoji23]Story za Le Babaz nilikuwa nilikuwa Sina hobby nazo Sana.
NGUVU YA KIROHO by Pascall Mayalla
MUNGU HAYUPO by KIRANGA
Historia ya nchi yetu na siasa by Elly na JokaKuu
Elly hasa kwenye mambo ya dini.
Saizi JF tunatrend na KULA TUNDA KIMASIHARA.
Nakumbuka braza
Pascal Mayalla alishawahi niambia mind set aiseeee nilimmaind vibaya nilitaka kumtukana badala yake nilijiondoa Jf nikabak msomaji.
Ila baada ya kusoma NYUZI ZA MR.POPOMA as GENTA nikajua ndani ya usiriasi Kuna utani.
Ndipo nakaanza kushinda Jukwaa la intelejensia[emoji2]