Tujuze umeanza kutumia JamiiForums tangu lini? Ni kipi kilichofanya ukavutiwa na JF?

Makiseo hapo juu, mbona unanigongea like kimyakimya bila kusema lolote?

Hivi unajua bado niko nakusubiria chumbani PM?
 
Nadhani kuna habari nilikuwa naitafuta nikakuta wamenidirect huku jf lakini web ikawa siielewi nikaamua kutafuta App aisee.. Nikawa na addiction ya Jf acha tu ilikuwa too much yani.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
2011
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…