Tujuzeni matokeo : Cameroon vs manyara stars....mliopo uwanjani

Tujuzeni matokeo : Cameroon vs manyara stars....mliopo uwanjani

Naanza kufikria kubaki kwa muda tanzania kabla sijaamia kenya..j3 naenda kuongeza permit ya kuwa tz
 
Nimeahidiwa kama tukishinda nitapewa hapa hapa!
 
Cameroon wamepata ya 4

Wambura wetu kakosa.....................aaaaaaaaaaaaaargh
 
Cameroon ya 5...............

Gooooooooooooooooooooal

penati 3-3 so far
 
Juma Abdul Seif tunakutegemea

Kashindaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mie nimemwabia anti yenu hapa nyumbani anisaidia kubinya nanihii zangu, sasa imekuwa mwao, hataki kuziachia.
 
Mungu mkubwa...............Hongera Manyara Stars,hongera Kado,hongera Julio

Asante sana Juma Abdul Seif

YES...................We made it
 
Raha. Bora tumepita. Huyu jamaa anakejeli eti tumepita kwa penati, anasahau kuna watu walipita kwa mabao ya mkono, sembuse penati. Kupita ni kupita tu, hata kama ni kwa kinyumenyume. Hongera Manyara Stars!
 
Manyara 4 - 3 Cameroun
Tunasonga kwa jumla 7 - 6
 
Back
Top Bottom