Za kike zinashikwaje! Waombeni samahani
kinachezewa uwanjan ni mpira (ball), ndo maana unashikilia mipira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za kike zinashikwaje! Waombeni samahani
Presha inapanda inashuka inapanda inashuka..............dah
kweli si mchezo mkuu, dkk ya ngapi sasa?
hapa jf tu[po wengi ttukishika wote hakuna goili litaklo ingia
Hawa wachezaji wetu wanarudi nyuma matokeo yake wanakaribisha mashambulizi ya kila mara,tunaweza kulambwa bao muda si mrefu...........Asante kwa Shaban Kado,anatuokoa sana golikipa wetu
Dk 15 za kwanza zimeisha still Manyara Star 2 Cameroon 1........Tunaenda lala salama sasa.
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Manyara Stars
Tunatafuta kushinda ama tunatafuta kushindwa! Au wanamtegemea Kado kwenye penalti!
Mungu ibariki Tanzania
Kido ni kipa mzuri. Kaseja asipoangalia atakaa benchi yeye. Haya, zimebaki ngapi? Mana kama tunashambuliwa basi bora uishe tupigiane penati.Kado kacheza vizuri sana leo...............Tunashambuliwa jamani
Kado kacheza vizuri sana leo...............Tunashambuliwa jamani
Tumekoswakoswa..............lol
Kido ni kipa mzuri. Kaseja asipoangalia atakaa benchi yeye. Haya, zimebaki ngapi? Mana kama tunashambuliwa basi bora uishe tupigiane penati.
Shem ngoma imelala....manyara wanashinda si ndiko alipo babu ukoTumekoswakoswa..............lol