Tujuzeni matokeo : Cameroon vs manyara stars....mliopo uwanjani

Tujuzeni matokeo : Cameroon vs manyara stars....mliopo uwanjani

Kuna kale kam chezo ka kitoto kushika pumbu gori lisiingie...sijui km ni kweli hebu ngoja nijaribishe
 
Matokeo so far ni 3-3(aggregate)......Baada ya hapa ni matuta I think(sina uhakika na hili)

Oooooooooh..................Ni dakika 30 zaidi

Mungu Ibariki Tanzania Mungu ibariki Manyara Stars

Go Tanzania go...............................Dakika 30 za nyongeza tayari zimeanza
 
Mnaouona mpira, je tunashambulia au tunashambuliwa sie?
Tumeshambuliwa sana dakika 15 za mwisho za muda wa kawaida,shukrani zimuendee golikipa wetu Shaban Kado...

Kiungo chetu bado hakijatulia kwa dakika hizi za mwanzo za muda wa nyongeza(dakika 30)
 
Aaaaaaaaaaaaaaaargh.................Ulimwengu anakosa goli la wazi jamani
 
Presha inapanda inashuka inapanda inashuka..............dah
 
Hawa wachezaji wetu wanarudi nyuma matokeo yake wanakaribisha mashambulizi ya kila mara,tunaweza kulambwa bao muda si mrefu...........Asante kwa Shaban Kado,anatuokoa sana golikipa wetu
 
Back
Top Bottom