Tujuzeni matokeo : Cameroon vs manyara stars....mliopo uwanjani

Tujuzeni matokeo : Cameroon vs manyara stars....mliopo uwanjani

Shaban Kado anafanya kazi ya ziada....Anatuokoa saha
 
Cameroon wanatushambulia sana...Tunaruhusu kona nyingi sana
 
Dakika ya 81 bado tunaongoza 2-1 tunachezewa nusu uwanja na kushambuliwa sana tukilemaa watasawazisha
 
Shaban Kado's doing great..........Anatuokoa sana huyu dogo
 
Dah.........tunakosa goli la wazi hapa.................
 
Matokeo so far ni 3-3(aggregate)......Baada ya hapa ni matuta I think(sina uhakika na hili)
 
Back
Top Bottom