Silas Haki
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 368
- 39
Anafurahia kuzishika, acha tu aendelee na ikiwezekena uendeleze mechi nyingineMie nimemwabia anti yenu hapa nyumbani anisaidia kubinya nanihii zangu, sasa imekuwa mwao, hataki kuziachia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafurahia kuzishika, acha tu aendelee na ikiwezekena uendeleze mechi nyingineMie nimemwabia anti yenu hapa nyumbani anisaidia kubinya nanihii zangu, sasa imekuwa mwao, hataki kuziachia.
Mungu mkubwa...............Hongera Manyara Stars,hongera Kado,hongera Julio
Asante sana Juma Abdul Seif
YES...................We made it
Mie nimemwabia anti yenu hapa nyumbani anisaidia kubinya nanihii zangu, sasa imekuwa mwao, hataki kuziachia.
Raha. Bora tumepita. Huyu jamaa anakejeli eti tumepita kwa penati, anasahau kuna watu walipita kwa mabao ya mkono, sembuse penati. Kupita ni kupita tu, hata kama ni kwa kinyumenyume. Hongera Manyara Stars!
Weka picha hizo hapa tushangilie pamojaTotozi zimeachia vyupi wazi nyuma kisa zinashangilia....niweke picha hapa?????
Anafurahia kuzishika, acha tu aendelee na ikiwezekena uendeleze mechi nyingine
Mwanaume kamili huwa hademi demi anafanya mambo weka hivyo vyupiii tuendelee kushangilia acha uyoyo aka ushaharo-baro bwana, sasa kwa ushindi huu who is next and how many rounds before we qualify to London U-23 Olyimpics finals?Totozi zimeachia vyupi wazi nyuma kisa zinashangilia....niweke picha hapa?????
hawezi kuweka hizo ni kamba za YO YO tuWeka picha hizo hapa tushangilie pamoja
Washike nini