Tujuzeni matokeo : Cameroon vs manyara stars....mliopo uwanjani

Tujuzeni matokeo : Cameroon vs manyara stars....mliopo uwanjani

wera weraaaaaaa aibu yaoooo hiyoooo. julio kaza buti acha maneno mengi tunataka tufike finals
 
Thank God Mrisho Ngassa hakucheza leo maana angecheza lazima zengwe lingetokea na workdone iwe 0
 
Totozi zimeachia vyupi wazi nyuma kisa zinashangilia....niweke picha hapa?????
 
Raha. Bora tumepita. Huyu jamaa anakejeli eti tumepita kwa penati, anasahau kuna watu walipita kwa mabao ya mkono, sembuse penati. Kupita ni kupita tu, hata kama ni kwa kinyumenyume. Hongera Manyara Stars!

So manyara wamequalify kwenda olympic au bado wana mchujo tena?
 
Hongereni Manyara stars, pongezi zaidi kwa golikipa Kado.
 
asante sana Juma Abdul Seif
kwa kusafisah nyota yetu leo
Balantanda tuko pamoja na Mungu akubariki
 
Shukrani nyingi sana kwa mliokuwa mnatuletea updates.

Kidumu CCM.
 
Julio ataongea sana leo................Anastahili kwa kweli
 
Totozi zimeachia vyupi wazi nyuma kisa zinashangilia....niweke picha hapa?????
Mwanaume kamili huwa hademi demi anafanya mambo weka hivyo vyupiii tuendelee kushangilia acha uyoyo aka ushaharo-baro bwana, sasa kwa ushindi huu who is next and how many rounds before we qualify to London U-23 Olyimpics finals?
 
HONGERA MANYARA STARS NA NYOTE MLIOKUWA MNATUPASHA TANGU MWANZO HADI MWISHO - Asanteni sana.
 
Eti Julio amedidicate ushindi wa vijana wa Manyara Stars kwa mheshimiwa mpenda michezo na Rais wetu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, pia ameelezea kuwa Mrisho Ngassa hakucheza kwa kuwa aliugua malaria ya ghafla na pia waandishi wetu wamepiga kelele sana juu ua umri wake na akamalizia kwa kusema "kwani Cameroon ukiwaangalia ni kweli wote wako U-23?..."
 
Back
Top Bottom