and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
1. Kwa pamoja tukatae ndoa za Jinsia moja. Huu si utamaduni wetu wa-Tanzania, ndugu zangu.
2. Pia, apps zinazohamasisha Ushoga zifungiwe. Hizi apps zimekua msiba Kwa vijana (Hasa wanachuo).
3. NGOs, vituo vya watoto yatima na Sober house zifuatiliwe Kwa karibu. Huko ndo agenda za Ushoga zinahubiriwa bila bughudha.
NB: Hali ni tete mtaani, ajira hamna vijana wameamua kuuza utu wao Kwa ujira kidogo.