Jikite kukemea vitendo vya ulawiti vinavyofanywa hadi na masheikh na mapadri1. Kwa pamoja tukatae ndoa za Jinsia moja. Huu si utamaduni wetu wa-Tanzania, ndugu zangu.
2. Pia, apps zinazohamasisha Ushoga zifungiwe. Hizi apps zimekua msiba Kwa vijana (Hasa wanachuo).
3. NGOs, vituo vya watoto yatima na Sober house zifuatiliwe. Huko ndo agenda za Ushoga zinahubiriwa kila siku.
achana na hayo, andika/paza sauti kuhusu watu wanaopotea na kuuawa. Hili litakuja baada ya uhai kuwa salama!1. Kwa pamoja tukatae ndoa za Jinsia moja. Huu si utamaduni wetu wa-Tanzania, ndugu zangu.
2. Pia, apps zinazohamasisha Ushoga zifungiwe. Hizi apps zimekua msiba Kwa vijana (Hasa wanachuo).
3. NGOs, vituo vya watoto yatima na Sober house zifuatiliwe. Huko ndo agenda za Ushoga zinahubiriwa kila siku.
NB: Hali ni tete mtaani, ajira hamna vijana wameamua kuuza utu wao Kwa ujira kidogo.
EheeeeeUnavopost ndio unakataa au unapiga promo
🤣🤣Mkuu,Kuna yule jamaa aliyeingiziwa chupa mkunduni na mbunge wa Babati ,mwanamama asiyekuwa na Akili timamu aitwaye Gekul!
Kwakuwa unapinga mambo haya,Je ulichukua hatua gani?
Yule dogo ameingia kundi la MAPAPAI bila kupingwa.Mkuu,Kuna yule jamaa aliyeingiziwa chupa mkunduni na mbunge wa Babati ,mwanamama asiyekuwa na Akili timamu aitwaye Gekul!
Kwakuwa unapinga mambo haya,Je ulichukua hatua gani?
Unavopost ndio unakataa au unapiga promo
PAPA SI KATOA RUKSA??WE HUONI KAMA NI KUHAMASISHA UCHOKO HUKO??Kwani we nani kakwambia Tunakubali ?