Tukatae ndoa za Jinsia moja - Si utamaduni wetu

Chanzo cha utamaduni wa nchi ni itikadi ya serikali ili madakani.

Itikadi ya nchi ni serikali isiyo na dini.

Ndio ya jinsia moja ni kwa wasio na dini.

Tukitakata kuunda serikali inayokataa uliwati tunapaswa kubadili itikadi ya serikali ya dini zote
 
Neno NDOA,

Tafsiri ni mume na mke.

Sasa NDOA za JINSIA Moja ni complex term, haipo na haijawahi kuwepo.

Ukiuita muingiliano wenye asili ya kuzimu utakuwa hujakosea.
 
Ukosefu wa ajira sio bahati mbaya, it is by design for these very things.Fuata link ifuatayo uone ukweli huu.Soma goals zote 21 uone what is at stake,we are cornered mkuu.

 
Ushoga ulikuwepo na hautakwisha na upo Dunia nzima...Cha msingi mlinde mwanao....na pia mwanaume ambaye siyo shoga hawezi kushawishika kupitia app Wala Alama ya upinde
Hili ndiyo jibu

Uzi ufungwe

Ova
 
Hali ni mbaya sana
Your browser is not able to display this video.
 
Acha promo we ndugu tushakushtukia
 
Tahadhari inakuaje promo? Au umeshalowa?
Endelea kuyapa promo, uzuri sasa hivi tumewastukia kitambo tu.
Kuna asiejua hizo mbanga ni za hovyo, ila ninyi kwa kujistukia kwenu basi mnaanzisha nyuzi uchwara kama hizi zisizo na kichwa wala miguu ili jamii iwaone hampo huko na mnakemea ilhali mnasokomezewa.
 
Duh we jamaa mbona umepaniki? Kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…