The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,709 Jan 27, 2026 #1 Kichwa cha habari kiko wazi. Timu hii ya wazee wa hovyo haina maslahi ya nchi bali ya. muuaji mmoja aliyewateua. Ni aibu hadi sasa wanaamua kufanya uchunguzi kwa siri. Kwanini siri? Wanaficha nini? Na kwanini?
Kichwa cha habari kiko wazi. Timu hii ya wazee wa hovyo haina maslahi ya nchi bali ya. muuaji mmoja aliyewateua. Ni aibu hadi sasa wanaamua kufanya uchunguzi kwa siri. Kwanini siri? Wanaficha nini? Na kwanini?