Tukate mzizi wa fitina: Tunda na Lulu nani kisu zaidi?

Tukate mzizi wa fitina: Tunda na Lulu nani kisu zaidi?

1474403108452.jpg
sawa[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Baada ya kusoma thread hii,ikanibidi niingie mitandaoni niweze kuwafaham zaidi mana sikuwa nawafahamu.Ako katunda,picha zake nyingi kanakula tu alafu nikiangalia afya hakuna kitu(afya ndogo) picha nyingi zaidi yupo hotelin tu nimeshindwa kujua hata anachofanya.Sidhani kama picha alizoeka zinaonesha uhalisia wake wa kweli, kifupi kale kengine kanakashape hivi nako si kazuri kivile.
 
Aaaaah
Sijasema uhame [emoji23]
Mkuu sasa ukihama huku tuyakosa nyuzi.
Ila Tunda ndo alizidi sasa
Mkuu nataka nipishe hali ya hewa kidogo, kama sijaenda jukwaa la siasa basi naenda kuchafua hali ya hewa jukwaa la michezo kwa habari za Yanga maana mimi na Yanga damu damu
 
Mkuu nataka nipishe hali ya hewa kidogo, kama sijaenda jukwaa la siasa basi naenda kuchafua hali ya hewa jukwaa la michezo kwa habari za Yanga maana mimi na Yanga damu damu
Aaah
We jamaa mi toka niingie jf nimekuwa nashinda huku kwa ajili ya watu kama wewe.
Kweli tembea tembea ila huku usipotee kabsaa
 
Back
Top Bottom