brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
- Thread starter
- #61
Usijali nina mada moto moto naenda kuanzisha nimeanza jana kuanzisha mada kule yenye title "Hivi majipu yameisha serikalini" nikitoka huko nahamia jukwaa la michezoMkuu unataka ukaandike nini kule?