brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
- Thread starter
-
- #61
Usijali nina mada moto moto naenda kuanzisha nimeanza jana kuanzisha mada kule yenye title "Hivi majipu yameisha serikalini" nikitoka huko nahamia jukwaa la michezoMkuu unataka ukaandike nini kule?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunda kazuri ila lulu mzuri zaidi no tunda mzuri zaidi kuliko lulu duh ila lulu anakachura kazuri no lulu mzuri shiit tunda mtamu kwa kweli lakini lulu si haba.
Sio kwa mapaja haya
View attachment 403866
MkuuUsijali nina mada moto moto naenda kuanzisha nimeanza jana kuanzisha mada kule yenye title "Hivi majipu yameisha serikalini" nikitoka huko nahamia jukwaa la michezo
Usijali nataka nihame jukwaa kwa muda niende siasani kidogoMkuu
Kuanzia kesho Tunda hatumtaki tena!
[emoji124]
AaaaahUsijali nataka nihame jukwaa kwa muda niende siasani kidogo
Mkuu nataka nipishe hali ya hewa kidogo, kama sijaenda jukwaa la siasa basi naenda kuchafua hali ya hewa jukwaa la michezo kwa habari za Yanga maana mimi na Yanga damu damuAaaaah
Sijasema uhame [emoji23]
Mkuu sasa ukihama huku tuyakosa nyuzi.
Ila Tunda ndo alizidi sasa
AaahMkuu nataka nipishe hali ya hewa kidogo, kama sijaenda jukwaa la siasa basi naenda kuchafua hali ya hewa jukwaa la michezo kwa habari za Yanga maana mimi na Yanga damu damu
UsijaliAaah
We jamaa mi toka niingie jf nimekuwa nashinda huku kwa ajili ya watu kama wewe.
Kweli tembea tembea ila huku usipotee kabsaa
Sio kwa mapaja haya
View attachment 403866