Tukate mzizi wa fitina: Tunda na Lulu nani kisu zaidi?

Tukate mzizi wa fitina: Tunda na Lulu nani kisu zaidi?

Wote wazuri katika macho yako. ..kwa upande wangu lulu kamshinda tunda. .ubaya ni kua pua zao wote ni mbaya sana na la tunda ndiyo limezidi ubaya. ..afu vifupi mno vyote viwili ni viduchu. ..warudi shule wote wawili maana they are not photogenic. ..sorry!
Heheheheheh eti viduchuuuuu
 
Lulu nishamuona wa kawaida,mfupi sema ana shape nzuri sana!

Tunda sijawahi muona!

Ila mwanamke ukitaka kujua mzuri akinyoa ndo utajua so kwa mtazamo wangu credit nampa tunda kwa kua pale amenyoa kapendeza
 
Body ya Lulu imekaa poa kumzidi Tunda, sura na rangi Tunda yupo vizuri, Miguu ya lulu inavutia zaidi ya Tunda. Kuhusu nywele sijui maana wote timu mawigi. Overall Lulu yupo vizuri bt I would love to spend the night with Tunda [emoji12]
 
Ok, swali..

Je uba kadi ya chama(yani kadi ya cccm)?

Kama hauna inabidi unitumie 5000 ili nkufanyie mchakato wa kupata hiyo kadi.

Na baaamda ya kupata hyo kadi, itabidi ulipie tena 1000 ili tukusajili ktk system ya kupiga buku 7 daily
ntashukuru mkuu sina kadi ngoja nitafute kwanza hiyo 6000
 
Halafu hivi kwanini wadada Wa bongo hawana nywele ndefu zao za asili .

Nimejaribu kufuatilia nimegundua kati ya 100 basi 1 tu ndo anazo nywele ndefu za asili yaani zile zinazofika nusu ya mgongo zikilazwa .

Nini ni chanzo la hili tatizo.

Naongea hivi kwa sababu ninavutiwa sana na mwanamke mwenye nywele ndefu .


Yaaani hata akiwa mbaya lakini unywele anao kwangu Mimi she looks more sexier than hao vidosho .

Naombeni mnijuze might be nitao wife mwenye kipilipili naweza kumshauri awe na hizo nywele ili nisije kutekwa na wenye nazo[emoji3]


Man haya mawigi sijui mkatani samtaimu yananuka halafu watu wanajikunakuna vichwa sasa sijui chawa ama[emoji12] [emoji119]
 
In the angle ya mwanamke wa kuchapa na kuachana naye. Wote wazuri, maana wote you get what you poid for.

In the angle of mwanamke mzuri mwenye shape nzuri na anayehamasisha dushe lisimame umuonapo, basi naona Lulu kamzidi huyo Tunda.

Katika angle ya kutafuta mama wa watoto wako wa kutulia naye akuzalie watoto, msaidizi wako na mwandani wako, wote hao hawafai. Maana wote ni malaya.

Ungetuwekea na picha zao ambazo wametoka kuamka ambazo hawajajipiga makeup bado.

BTW huyo Tunda ana kazi gani mjini hapa.? Ama ni umalaya full time.?
 
Nmependa kiingereza chako tu
Sio yeye tu mkuu,ni common errors kwa Tanzanian English speakers.hata hapa fuatulia michango ya wadau wengine utakutana na mtu/watu wengine with the very same mistake.
 
Kiubinadamu wote ni wazuri.

Kimahaba mim namkubali lulu.

Nadhani ningekuta wamejianika sehemu ningeanza na lulu then nikichoka namalizia kwa huyu mtundu sjui mtunda
 
Haya nafunga mjadala rasmi Tunda ameibuka kidedea kwa 56% wakati Lulu ameambulia 44% ya kura zote .Tukutane tena kwenye mada nyingine asanteni kwa kushiriki
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom