OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
TUKI wataalamu wa Kiswahili hii inawahusu. Hii misamiati inapaswa kubadilishwa ili kuendana na kasi ya mweshimiwa.
1. Mbunge....huyu awe ni mtu anayepaswa kuunga mkono serikali na ikulu kwa kila kitu. Akishachaguliwa aweke pembeni matakwa ya wananchi na kuwa mpambe wa rais
2. Mnyonge........huyu awe ni mtu wa serikalini anayetembelea V8 na magari makubwa makubwa.
3. Mzalendo.......awe ni mtu asiyepinga rais kwa chochote mile
4.Msaliti..........huyu awe ni mtu yeyote mfano wa Lissu,Zitto au Heche ambaye anakataa kuburuzwa kama guruwe linapelekwa mnadani
Ongezeni na misamiati mingine inayotakiwa kubadilishwa