Tukiacha Unazi tuwe wakweli, je ni nani anayechezea Brand ya Simba hivi sasa bila makubaliano ya kimkataba yenye uwazi na yanayoeleweka?

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759

This is Funny

Kampuni yake iliyomiliki 49% ya HISA za Simba si hizi kampuni zinazotangazwa kila kukicha. Hizi zinahitaji mikataba maalum ya kibiashara ili zitangazwe hivi wakuu. Unaponunua hisa si lazima upewe matangazo ya kibiashara bali unakuwa shareholder tu.

Mo ni Mfadhili,Mmiliki(Mwanahisa by 49%), Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi na Mwanachama waSimba S.C lakini si mdhamini mkuu.Anachokifanya kupitia nafasi zake hizi ni kujitengenezea fursa za kimasoko bila mikataba maalum isiyokuwa na terms wala ukomo utakaoongeza dau la udhamini kila mwaka au mkataba utakapoisha.Hii ndio inaitwa MONOPOLY SYSTEM.

Kampuni za Mo ni different entities na zinahitaji makubaliano ya kimkataba kufanya dili yeyote na Simba Sc. Mkataba wa udhamini wa Kampuni za kibiashara za Mo ni wa gharama ndogo sana kulinganisha na Airtime ya matangazo wanayopewa na Simba kwa kampuni zake. Huu si unazi bali mnapaswa kukaa naye mezani na kumwambia ukweli kwa faida yenu hapo baadaye ili mnufaike kibiashara, si kweli kama yeye anapata hasara. Marketing power ya Klabu ni kubwa sana kuliko inavyoaminishwa.
 
Wahindi n nooma,

Yaani inaweza shangaa, mtu anapata shida kufanya kazi kwa muhindi ila ataendelea kuwepo hapo miaka nenda miaka rudi huku hali yake ikiendelea kuzorota tu.

Hili ni la kusubiri na kuona, ila muhindi ni nooma kbs
 
Nani amwambie kwa mtazamo wako!?
A.Mashabiki wa Simba
B.Viongozi wa Simba akiwamo yeye mwenyewe

Na, Je una uhakika makampuni tajwa hapo hayana mkataba na Simba?

Maana mimi sijaona hata mkataba wa magodoro ya GSM wala mkataba wowote wa GSM zaidi ya kuambiwa ni wadhamini tu.

Na hata hivyo "UKIKUBALI KULA KUBALI KULIWA" .
Hata mimi siwezi kuweka pesa yangu mahali ambako hapanizalishii pesa either direct au in second hand never.Na tusimwonee wivu mtu aliyeiona fursa na kuitumia ,hapa duniani ilishaandikwa TAJIRI ATAMTAWALA MASIKINI (unadhani atamtawalaje kama si kutumia fursa ambazo maskini hawezi kuzitumia!?

Jiulize , hivi ukipewa na wewe utangaze bango lako unaweza kulipia bill zote za Simba Sports Club kwa pesa utakayoipata? Si rahisi sana kuendesha club ndugu zangu.
 
Hapo shida yako ni tangazo la sabuni, kama ingekuwa ile Mo energy uliyoizoea usingelia.

Simba imekuwepo miaka mingi, lakini hata mishahara ya wachezaji ilikuwa tatizo, timu ilikuwa inategemea viingilio vya milangoni ambavyo havikutosha chochote zaidi ya wale makomandoo kuneemeka kwa kupitia jina la timu.

Leo amekuja Mo, anasajili wenye viwango, anawalipa mishahara mizuri kwa wakati hatusikii wakilalamika kama upande wa pili, wanafanya vizuri ndani na nje ya nchi, brand ya timu inazidi kukua, lakini cha ajabu kwenu anayechangia kuikuza hiyo brand hatakiwi kutangaza biashara zake.

Kila siku mmekalia majungu Mo anaiibia Simba SC, bila kutuonesha ushahidi usio na shaka anaiba vipi na wapi, Simba inaingiza kiasi gani na Mo anaiba ngapi.

Wazungu husema "he who alleges must prove" if you can't shut up; vinginevyo nyie mnaoutumwa na makomandoo au ndio makomandoo wenyewe kupiga kelele mnajisumbua tu, Simba SC ilishatoka huko.

Hamjiulizi pesa za usajili, posho, gharama za usafiri na malazi, mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi hutoka wapi, mnalialia tu; toa hizo gharama zote tuambie kwa mwezi Simba SC inaingiza ngapi na hizo gharama hapo juu kwa mwezi jumla ni ngapi tupige hesabu.

Kama mlikuwa na hii akili ya biashara kwanini hamkujitokeza kabla Mo hajaenda Simba SC? au mmepata akili baada ya Mo kwenda Simba? wacheni kelele, mlilia na bil 20 zikawekwa, mmebaki kuhamisha magoli wachovu nyie.
 
Unauliza swali at the same time unahitimisha. Sasa unataka tujadili nini? Kukusaidia tu hayo matangazo yote yana mkataba na wanatoa hela ndefu.

Kukusaidia zaidi. Jamani kuna 51% inahitaji wawekezaji, mkanunue shares muweke hela kama ni rahisi. Itawasaidia kupimana nguvu na major shareholder kwenye vikao vya maamuzi badala ya kutupigia kelele humu.

Yaani mtu atoe 20b na aiweke timu juu halafu umpangie jinsi ya kufaidika nayo,huu si ni wehu. Kwani timu ya mama yake ile. Ile ni biashara chief. Hizi kelele mmepiga mwaka wa 5 huu hazileti tija yeyote,hamchoki tuuuuu
 
Nani amelipa 20 billions ? Ni Manara ? .... I'm out of this conference
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akili za chama flani wewe.
Mleta uzi amenyooka vizuri tu kuwa Mo ni mwanahisa, hizo 20B sio udhamini bali ili akidhi kuwa mwana hisa 49%.
Hii maana yake kila Simba inapoingiza faida yoyote ya kibiashara, Mo anapata mgawo wa 49% ya faida hiyo.

Matangazo huwa ni ya wadhamini na mkataba huwekwa wazi...ambapo pia Mo anaweza kuwa mmoja wa wadhamini vilevile..

Swali je..Mo ni mwanahisa na pia ni mdhamini mwenye mkataba ulio wazi?

...mimi sijajibu kwani sijui kitu....
 
images.jpeg

Screenshot_20210907-055238_Chrome.jpg

Screenshot_20210907-055443_Chrome.jpg

Shabiki wa kweli mwenye kadi na anayehidhuria AGM anayajua haya. tabu inaanzia kwa shabiki wajuaji wa mitandao mtu anaonekana kabisa hakuna anachokijua lakini anakuja kupotosha watu. Jitahidini kujielimisha kwanza kabla ya kukurupuka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akili za chama flani wewe.
Mleta uzi amenyooka vizuri tu kuwa Mo ni mwanahisa, hizo 20B sio udhamini bali ili akidhi kuwa mwana hisa 49%.
Hii maana yake kila Simba inapoingiza faida yoyote ya kibiashara, Mo anapata mgawo wa 49% ya faida hiyo...
Mkuu unazungumzia mikataba "kuwekwa wazi" unamaanisha "wazi kwa nani"?

1. Kwa watu wote ? (Ubandikwe kwenye nguzo za umeme, uwekwe facebook, instagram, n.k)

2. Kwa viongozi wa bodi ambao wako pale kwa niaba ya wana-taasisi ?
 
😂😂😂😂😂 kuna vitu vinachekesha,msichoke kutuelimisha wakuu. Wanadhani kampuni ni kama mradi wa serikali ya kijiji kuitisha mikutano chini ya muembe
 
Mo yupo Simba kiupigaji, yupo pale kuvuna tu, maana mashabiki wa Simba ni watu duni na upeo mdogo. Wao watakwambia wanapata vikombe vya ubingwa, sasa kwanini wahangaike kumsumbua Mo.

Akili zitawakaa siku wakikosa ubingwa.
Kwamba utopolo ndio mnaupeo sana sio ,hapo huwezi walaum simba laam malaka za nchi wao ndo wamekubal yeye kukaa hapo kabla ya mo simba ulikua wap?
 
This is Funny

Kampuni yake iliyomiliki 49% ya HISA za Simba si hizi kampuni zinazotangazwa kila kukicha. Hizi zinahitaji mikataba maalum ya kibiashara ili zitangazwe hivi wakuu. Unaponunua hisa si lazima upewe matangazo ya kibiashara bali unakuwa shareholder tu.

Mo ni Mfadhili,Mmiliki(Mwanahisa by 49%), Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi na Mwanachama waSimba S.C lakini si mdhamini mkuu.Anachokifanya kupitia nafasi zake hizi ni kujitengenezea fursa za kimasoko bila mikataba maalum isiyokuwa na terms wala ukomo utakaoongeza dau la udhamini kila mwaka au mkataba utakapoisha.Hii ndio inaitwa MONOPOLY SYSTEM.

Kampuni za Mo ni different entities na zinahitaji makubaliano ya kimkataba kufanya dili yeyote na Simba Sc. Mkataba wa udhamini wa Kampuni za kibiashara za Mo ni wa gharama ndogo sana kulinganisha na Airtime ya matangazo wanayopewa na Simba kwa kampuni zake. Huu si unazi bali mnapaswa kukaa naye mezani na kumwambia ukweli kwa faida yenu hapo baadaye ili mnufaike kibiashara, si kweli kama yeye anapata hasara. Marketing power ya Klabu ni kubwa sana kuliko inavyoaminishwa.
brand!? labda brand ya nyoko ndio inachezewa

mtuachie mo na simba yetu
 
mkuu naomba mkataba wa gsm foam na anta sport?
 
Mo yupo Simba kiupigaji, yupo pale kuvuna tu, maana mashabiki wa Simba ni watu duni na upeo mdogo. Wao watakwambia wanapata vikombe vya ubingwa, sasa kwanini wahangaike kumsumbua Mo.

Akili zitawakaa siku wakikosa ubingwa.
Watu wa mpira muko vichwa ngumu, ni ushabiki tu. Mo hana mikataba, Azam hana mikataba, Harsi hana mkataba, muwe mnatizama na kwenu. Nakuzindua ili useme kama umewahi kuona mkataba wa Gsm

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom