OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
hizi habari za ndani sanaMwambieni gsm aache ujanja ujanja,alipe pesa ya uhamisho ya Shaban Djuma,keshapigwa pini kutocheza mechi za kimataifa na caf.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizi habari za ndani sanaMwambieni gsm aache ujanja ujanja,alipe pesa ya uhamisho ya Shaban Djuma,keshapigwa pini kutocheza mechi za kimataifa na caf.
Wameshazimia hukoMwambieni gsm aache ujanja ujanja,alipe pesa ya uhamisho ya Shaban Djuma,keshapigwa pini kutocheza mechi za kimataifa na caf.
This is Funny
Kampuni yake iliyomiliki 49% ya HISA za Simba si hizi kampuni zinazotangazwa kila kukicha. Hizi zinahitaji mikataba maalum ya kibiashara ili zitangazwe hivi wakuu. Unaponunua hisa si lazima upewe matangazo ya kibiashara bali unakuwa shareholder tu.
Mo ni Mfadhili,Mmiliki(Mwanahisa by 49%), Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi na Mwanachama waSimba S.C lakini si mdhamini mkuu.Anachokifanya kupitia nafasi zake hizi ni kujitengenezea fursa za kimasoko bila mikataba maalum isiyokuwa na terms wala ukomo utakaoongeza dau la udhamini kila mwaka au mkataba utakapoisha.Hii ndio inaitwa MONOPOLY SYSTEM.
Kampuni za Mo ni different entities na zinahitaji makubaliano ya kimkataba kufanya dili yeyote na Simba Sc. Mkataba wa udhamini wa Kampuni za kibiashara za Mo ni wa gharama ndogo sana kulinganisha na Airtime ya matangazo wanayopewa na Simba kwa kampuni zake. Huu si unazi bali mnapaswa kukaa naye mezani na kumwambia ukweli kwa faida yenu hapo baadaye ili mnufaike kibiashara, si kweli kama yeye anapata hasara. Marketing power ya Klabu ni kubwa sana kuliko inavyoaminishwa.