[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jibu hoja brother. Acha kutumia lugha ambazo hazina staha.Kweli Tanzania imejaa majitu bogus kama joshydama. Yaani unamtetea huyu Spika wa hivyo ambaye Nchi yetu haijawahi kuwa naye kabla yake!
Unamtetea Spika aliyeapisha wanawake 19 na kuwaita wabunge na wanakula mabilioni ya Kodi zetu. Unamtetea Ndugai aliyekataa kushirikiana na CAG kutafuta zilipo Tsh 2.4 Trillion.
Kweli watu wengine vichwa vyenu ni mfuko wa kubebea meno tu
Wewe ndiyo utateseka mpaka 2025. Yeye Chief Hangaya ameonyesha makucha yake. Ni Rais wa kwanza katika Historia ya Tz kumfanya Spika wa Bunge ajiuzulu.Hatetewi Ndugai kama Ndugai!
Inatetewa hoja yake!
Na hata hivyo pamoja na Hanganya kulishambulia bunge kupitia Ndugai, bado hoja ya Ndugai itamtesa hadi anafika 2025
Hii Vita Mshindi Atakuwa Ndungai Ni Swala La Mda Tu[emoji3577]
Tofauti ni IQ, hili siyo jukwaa lako. You belong to mediocre minds[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jibu hoja brother. Acha kutumia lugha ambazo hazina staha.
Kutukana ni kwa wajinga. Usinishawishi niamini kuwa nawe u mjinga. Mifano uliyoleta haina maana. Mbona unakuta mtu anaua au anaiba na bado anatetewa?
Ndio ni Rais wa kwanza katika historia ya tz kushambulia bunge hadharani!Wewe ndiyo utateseka mpaka 2025. Yeye Chief Hangaya ameonyesha makucha yake. Ni Rais wa kwanza katika Historia ya Tz kumfanya Spika wa Bunge ajiuzulu.
Na hiyo ndiyo Leadership hasa. Rais hawezi kuchezewa na viroboto kama Ndugai, Bashiru, Polepole nk
Brother Stuxnet, could you please respond to the all matters raised by Mr. Job rather than attacking?Tofauti ni IQ, hili siyo jukwaa lako. You belong to mediocre minds
You have to rejuvenate your mind brother since you don't know what you address.Wewe ndiyo utateseka mpaka 2025. Yeye Chief Hangaya ameonyesha makucha yake. Ni Rais wa kwanza katika Historia ya Tz kumfanya Spika wa Bunge ajiuzulu.
Na hiyo ndiyo Leadership hasa. Rais hawezi kuchezewa na viroboto kama Ndugai, Bashiru, Polepole nk
Crimea ni seti tupu upstairs. Yaani Ndugai kubakia mbunge ni sawa tu na kuwa Spika? You are kidding dudeNdio ni Rais wa kwanza katika historia ya tz kushambulia bunge hadharani!
Wajinga na wapumbavu wanashangilia wakifikiri Ndugai ndio amekomolewa! Huvi Ndugai atakos kitu gani akikosa hiyo nafasi ya uspika?
.
Hapa bunge ndio kimeshambuliwa! Wapumbavu na machawa wa mama hawawezi kuliona hili
Unahangaika na huyo mwehu , anayekesha kwenye korido la chiefYou have to rejuvenate your mind brother since you don't know what you address.
Aside your arrogance, I hope you don't even know about separation of power. You don't understand how it works.
Not only that but also you don't comprehend on freedom of expression as guaranteed under Article 18 of the Constitution of the United Republic of Tanzania.
Rejuvenate your mind brother.
Acha kelele ndugai shida yake ni urais hampend na ata hataki kusikia mama samia akiwa rais wa JMT., ajenda yake kubwa ni hii na mipango yake haikukaa sawa ni vile mtu mbaya analaanika mapema.,Tukiacha ushabiki wa kivyama na kujipendekeza (unafiki), Licha ya kila mtu kujitokeza kujaribu kujibu hoja ya Spika Ndugai ama kuizungumzia hoja hiyo, na hata Serikali (Rais) ameitisha mkutano wa kidola nikidhani anajibu hoja, badala yake wamejikuta wanamjadili Ndugai ama kumdhihaki ama kumdhalilisha tu, hoja ya Spika Job Ndugai haijajibiwa hata chembe, na ina nguvu kubwa. Hoja ya Ndugai si kwamba ina nguvu za kitaasisi tu, bali ni hoja inayohatarisha madaraka ya Rais, kwasababu kuu mbili,
Mosi: Liko kundi kubwa la Watanzania waliopewa jina la masikini na utawala wa John Magufuli, wakaaminishwa kuwa Rais Magufuli alikataa kukopa popote duniani tangu aingie madarakani hadi anafariki, na kwamba aliwagomea wazungu kwakuwa ni mabeberu waliotaka kupora raslimali zetu. Hawa waliaminishwa ujinga kuwa miradi yote nchini inajengwa kwa pesa yetu wenyewe.
Hili kundi utaliambia nini leo ukianza kukopa kwa uwazi na kutangaza hivi kila mkopo, bila kwanza kulipa elimu kuwa Magufuli katika utawala wake alikopa kimyakimya mikopo mikubwa ya kibiashara iliyovunja rekodi ya mikopo nchini? Kosa kubwa ambalo Rais Samia alifahya ni pale alipoingia madarakani akataka kuwawin makundi yote masikini na wenye akili, akasema yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Ni wazi hili kundi la masikini litamuunga mkono mtu yoyote atakayekosoa mikopo yenu.
Pili: Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ibara ya 63(2) nanukuu; Ibara ya 63 (2) "Sehemu ya pili ya Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na madaraka, kwaniaba ya wananchi, kuisimamia na KUISHAURI Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wamajukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii."
Kwa ibara hii ya 63 (2), Spika Ndugai ametimiza wajibu wa kikatiba wa Bunge katika kuishauri serikali, Kwamaoni yangu Spika hajakosea chochote katika kauli yake kuhusu serikali kuacha kukopa. Ametimiza matakwa ya kikatiba kama mkuu wa muhimili,
Ukiacha wajibu wa kibunge kama Spika, Job Ndugai kama rais wa Tanzania ametumia ibara ya 18 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa maoni yake. Ni sheria ipi Tanzania inayomzuia mtu kutoa maoni yake, ama kukosoa serikali?
Na Yericko Nyerere
View attachment 2069920
View attachment 2069921
Ndugai kaadhibiwa sio kwa sababu ya msimamo wake bali kwanza kwa kudharau na kupuuza mkopo wa 1.3Tukiacha ushabiki wa kivyama na kujipendekeza (unafiki), Licha ya kila mtu kujitokeza kujaribu kujibu hoja ya Spika Ndugai ama kuizungumzia hoja hiyo, na hata Serikali (Rais) ameitisha mkutano wa kidola nikidhani anajibu hoja, badala yake wamejikuta wanamjadili Ndugai ama kumdhihaki ama kumdhalilisha tu, hoja ya Spika Job Ndugai haijajibiwa hata chembe, na ina nguvu kubwa. Hoja ya Ndugai si kwamba ina nguvu za kitaasisi tu, bali ni hoja inayohatarisha madaraka ya Rais, kwasababu kuu mbili,
Mosi: Liko kundi kubwa la Watanzania waliopewa jina la masikini na utawala wa John Magufuli, wakaaminishwa kuwa Rais Magufuli alikataa kukopa popote duniani tangu aingie madarakani hadi anafariki, na kwamba aliwagomea wazungu kwakuwa ni mabeberu waliotaka kupora raslimali zetu. Hawa waliaminishwa ujinga kuwa miradi yote nchini inajengwa kwa pesa yetu wenyewe.
Hili kundi utaliambia nini leo ukianza kukopa kwa uwazi na kutangaza hivi kila mkopo, bila kwanza kulipa elimu kuwa Magufuli katika utawala wake alikopa kimyakimya mikopo mikubwa ya kibiashara iliyovunja rekodi ya mikopo nchini? Kosa kubwa ambalo Rais Samia alifahya ni pale alipoingia madarakani akataka kuwawin makundi yote masikini na wenye akili, akasema yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Ni wazi hili kundi la masikini litamuunga mkono mtu yoyote atakayekosoa mikopo yenu.
Pili: Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ibara ya 63(2) nanukuu; Ibara ya 63 (2) "Sehemu ya pili ya Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na madaraka, kwaniaba ya wananchi, kuisimamia na KUISHAURI Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wamajukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii."
Kwa ibara hii ya 63 (2), Spika Ndugai ametimiza wajibu wa kikatiba wa Bunge katika kuishauri serikali, Kwamaoni yangu Spika hajakosea chochote katika kauli yake kuhusu serikali kuacha kukopa. Ametimiza matakwa ya kikatiba kama mkuu wa muhimili,
Ukiacha wajibu wa kibunge kama Spika, Job Ndugai kama rais wa Tanzania ametumia ibara ya 18 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa maoni yake. Ni sheria ipi Tanzania inayomzuia mtu kutoa maoni yake, ama kukosoa serikali?
Na Yericko Nyerere
View attachment 2069920
View attachment 2069921
Ndugai yuko wapi mkuu tusaidieNdio ni Rais wa kwanza katika historia ya tz kushambulia bunge hadharani!
Wajinga na wapumbavu wanashangilia wakifikiri Ndugai ndio amekomolewa! Huvi Ndugai atakos kitu gani akikosa hiyo nafasi ya uspika?
.
Hapa bunge ndio kimeshambuliwa! Wapumbavu na machawa wa mama hawawezi kuliona hili
We jamaaa unafiki wako hata shetani aende tuisheni .....Mwendawazimu tu ndio atamuunga mkono Ndugai, kwanza anasema hiyo hoja ni ya kutunga. Pili ameomba msamaha kwa hoja hiyo. Kama yeye binafsi anakataa hoja yake, kwanini sisi tujipe jukumu la kuitetea hoja yake? Akitaka hoja yake ibaki na nguvu ashikilie msimamo wako.
Tofauti ni IQ, hili siyo jukwaa lako. You belong to mediocre minds
Crimea ni seti tupu upstairs. Yaani Ndugai kubakia mbunge ni sawa tu na kuwa Spika? You are kidding dude
Wenzio wanajadiri issues, wewe umekomaa na mtu. OK Ndugai katolewa, kaingia mwana mama; kuna nini cha maana kilicho badirika? Ndugai anaendelea kuishi kama yupo peponi na in fact tumeongeza gharama za uendeshaji wa bunge at this stage cause tuna spika mstaafu na spika aliepo madarakani kwa bunge lile lile, nafuu kwa taifa iko wapi? Jadiri issue sio mtu, watu wapo wengi sana wa kuwajadiri, jukwaa hili halitatosha mkuuWewe ndiyo utateseka mpaka 2025. Yeye Chief Hangaya ameonyesha makucha yake. Ni Rais wa kwanza katika Historia ya Tz kumfanya Spika wa Bunge ajiuzulu.
Na hiyo ndiyo Leadership hasa. Rais hawezi kuchezewa na viroboto kama Ndugai, Bashiru, Polepole nk
Bunge halijapokonywa madaraka yake.Ndio ni Rais wa kwanza katika historia ya tz kushambulia bunge hadharani!
Wajinga na wapumbavu wanashangilia wakifikiri Ndugai ndio amekomolewa! Huvi Ndugai atakos kitu gani akikosa hiyo nafasi ya uspika?
.
Hapa bunge ndio kimeshambuliwa! Wapumbavu na machawa wa mama hawawezi kuliona hili
Nenda MEMKWA ukajifunze kuandika sarufi ya Kiswahili ndiyo uje hapa JF. Hakuna neno "Badirika" bali kuna "Badirika".Wenzio wanajadiri issues, wewe umekomaa na mtu. OK Ndugai katolewa, kaingia mwana mama; kuna nini cha maana kilicho badirika? Ndugai anaendelea kuishi kama yupo peponi na in fact tumeongeza gharama za uendeshaji wa bunge at this stage cause tuna spika mstaafu na spika aliepo madarakani kwa bunge lile lile, nafuu kwa taifa iko wapi? Jadiri issue sio mtu, watu wapo wengi sana wa kuwajadiri, jukwaa hili halitatosha mkuu
Zenue ndio kitu gani mkuu? Huenda hata kiswahili kinakushinda, ndio maana umekomaa na kujadiri watu badala ya issuesNenda MEMKWA ukajifunze kuandika sarufi ya Kiswahili ndiyo uje hapa JF. Hakuna neno "Badirika" bali kuna "Badirika".
Hakuna neno "Jadiri" bali "Jadili".
Kama huwezi kuandika, kutoa hoja zenue mantiki ndiyo huwezi kabisa.