Kwa Yanga, mechi dhidi ya Azam na dhidi ya Simba huwa ni kubwa kama ulivyosema. Kwa Simba, mechi kubwa ni dhidi ya Al Ahly, Orlando Pirates, ASEC Abidjan nk.... tukianza na perfomance kwenye mechi kubwa tunaona fei anakiwasha akikutana na azam, simba
Kwenye hiyo 4-1 upande wa Yanga wa kulia kunasomeka mfungaji wa hilo goli moja ni Salum, ndiye huyo huyo Fei Toto, sema labda mwandishi alikuwa ana wivu akaweka jina lisilozoelekaMbna picha ya goal la feitoto hujaweka
Fei ana kasi zaidi, anacheza nafasi nyingi uwanjani (8 na 10), anaziweza mechi zenye tempo kubwa ( kwenye game kama hizi chama huwa anakua mzululaji tu uwanjani), ni mzuri katika kupiga mashuti ya mbali(rejea semi final fa cup msimu uliopita), anafunga magoli muhimu sana(rejea goli la jmos dhidi ya prisons na goli mbili dhidi ya azam kwa chama ukiona kafunga ujue mechi ilikua nyepesi na simba kashinda sio chini ya goli 3)Tukiachana na magoli ni kitu gani Feitoto anamzidi Chama😎
Mleta uzi anaongelea msimu huu ndio maana hata takwimu zake kaleta za msimu huu
Vs Nkana, anaipeleka Simba makundi kwa goal la jioni kabisa tena la kideo. Vs As Vita, anaipeleka Simba robo fainali kwa goal la jioni piaFei ana kasi zaidi, anacheza nafasi nyingi uwanjani (8 na 10), anaziweza mechi zenye tempo kubwa ( kwenye game kama hizi chama huwa anakua mzululaji tu uwanjani), ni mzuri katika kupiga mashuti ya mbali(rejea semi final fa cup msimu uliopita), anafunga magoli muhimu sana(rejea goli la jmos dhidi ya prisons na goli mbili dhidi ya azam kwa chama ukiona kafunga ujue mechi ilikua nyepesi na simba kashinda sio chini ya goli 3)
Msimu huu fei vs azam nq fei vs prison vitakupa jibu juu ya ubora wa fei,hapo sijataka kukuwekea fei vs ngada pale ccm kirumba kwenye faMleta uzi anaongelea msimu huu ndio maana hata takwimu zake kaleta za msimu huu
Huo mpira huwa mnaangalia pekee yenu, nimeuliza swali jepesi toka chama aje msimbazi ana goli ngapi na fei ana ngapi tupate goal/games tumalizane hapo.Alichomaanisha mleta uzi ni kwamba fei anamzidi chama vitu vingi na ukitoa hicho kigezo cha assist hakuna kingine ambacho chama anamzidi fei.. tukianza na perfomance kwenye mechi kubwa tunaona fei anakiwasha akikutana na azam, simba n.k tofauti na chama ambaye anapoteaga kwenye mechi kubwa.. spidi, stamina, mashuti ya mbali, magoli, kuendena na mechi za kasi kote uko fei yupo juu
Anachotaka kujua mtoa mada kwa msimu huu so far ni nini kingine ambacho chama anamzidi fei zaidi ya assist sasa kama na wewe ulikua unataka kujua jambo lako jingine ni vyema ukaanzishe thread yakoHuo mpira huwa mnaangalia pekee yenu, nimeuliza swali jepesi toka chama aje msimbazi ana goli ngapi na fei ana ngapi tupate goal/games tumalizane hapo.
Kisha tuje kuhesabiana mechi kubwa ambazo chama kang'ara vs fei.
Asante sana mkuu ndicho hicho tulichokua tunahitaji toa hoja kwa takwimu ila mtoa mada kaangazia zaidi msimu huu ingekua vizuri ungetoa takwimu za msimu huu piaVs Nkana, anaipeleka Simba makundi kwa goal la jioni kabisa tena la kideo. Vs As Vita, anaipeleka Simba robo fainali kwa goal la jioni pia
Umemaliza Kila kitu...Kwenye Timu yoyote na Kocha Yoyote ukiwa na Chama kwenye kikosi chake Hawezi kumweka Nje..
Na kwa kocha yoyote na timu yoyote ikiwa na FEI hawezi kumweka nje...
CHAMA ndiye KIUNGO BORA kabisa kwa sasa kwa International Playo. Na
FEI TOTO ndiye kiungo bora zaidi Kwa Tanzania kwa sasa hivi...
Hawa wawili kila mmoja kamzidi mwenzie kwenye eneo lake la kujitamba...
Fei sio mzuri kwenye Kupiga pasi za mwisho ila Chama ni mzuri zaidi kwenye hilo Eneo.
Chama Hana Punzi ya kukimbaza uwanjani ila Fei ana pafu kivipi Fei wakati timu ina shambuliwa ana uwezo wa kurudi nyuma kuingeza idadi ya viungo chini kitu ambacho Chama Hawezi hivyo uki hitaji balance nzuri kwenye timu unaenda Na fei pindi ukikutana na timu inayo miliki mpira na kushanbulia vyema.
Kwa sasa hapa Tz kuna watu ambao waki ondoka kuwapata wengine ninkazi
FEI
Muhamed Hussein
shomari kapombe
Sureboy
Na kwa nilivyo ona Fei akiwa ana piga pasi za mwisho vizuri tunaweza kuja na data tuka zijadili nani amempita mwenzie au nani ni bora. Kwa sasa Kila mmoja anaishi kwenye Dunia Ya Kwake peke yake
Ukisikia MBAMBAMBA ndio hizi,Kwenye Timu yoyote na Kocha Yoyote ukiwa na Chama kwenye kikosi chake Hawezi kumweka Nje..
Na kwa kocha yoyote na timu yoyote ikiwa na FEI hawezi kumweka nje...
CHAMA ndiye KIUNGO BORA kabisa kwa sasa kwa International Playo. Na
FEI TOTO ndiye kiungo bora zaidi Kwa Tanzania kwa sasa hivi...
Hawa wawili kila mmoja kamzidi mwenzie kwenye eneo lake la kujitamba...
Fei sio mzuri kwenye Kupiga pasi za mwisho ila Chama ni mzuri zaidi kwenye hilo Eneo.
Chama Hana Punzi ya kukimbaza uwanjani ila Fei ana pafu kivipi Fei wakati timu ina shambuliwa ana uwezo wa kurudi nyuma kuingeza idadi ya viungo chini kitu ambacho Chama Hawezi hivyo uki hitaji balance nzuri kwenye timu unaenda Na fei pindi ukikutana na timu inayo miliki mpira na kushanbulia vyema.
Kwa sasa hapa Tz kuna watu ambao waki ondoka kuwapata wengine ninkazi
FEI
Muhamed Hussein
shomari kapombe
Sureboy
Na kwa nilivyo ona Fei akiwa ana piga pasi za mwisho vizuri tunaweza kuja na data tuka zijadili nani amempita mwenzie au nani ni bora. Kwa sasa Kila mmoja anaishi kwenye Dunia Ya Kwake peke yake
Umetoka kufananisha uwezo wao ki mpira ukaingia kwenye maumbile yao,kwa hiyo na sisi tuseme Fei anachomzidi Chama ni lile domo pana kama pazia la leba tutakuwa tupo sahihi pia.Chama anamzidi Fei komwe tu,sio mpira
Wewe lakini, sio wanamichezo woteSijawahi kuona tuzo ya asssit ila ya magoli ipo