Basi subiri msimu umalizike ndiyo ulete sasa hizo takwimuAsante sana mkuu ndicho hicho tulichokua tunahitaji toa hoja kwa takwimu ila mtoa mada kaangazia zaidi msimu huu ingekua vizuri ungetoa takwimu za msimu huu pia
Leta fact na wewe kwanini uachane na assist????Leta facti ...
Rejea mechi zenu kati ya RIVERS, VIPERS & AL HILAL.Fei ana kasi zaidi, anacheza nafasi nyingi uwanjani (8 na 10), anaziweza mechi zenye tempo kubwa ( kwenye game kama hizi chama huwa anakua mzululaji tu uwanjani), ni mzuri katika kupiga mashuti ya mbali(rejea semi final fa cup msimu uliopita), anafunga magoli muhimu sana(rejea goli la jmos dhidi ya prisons na goli mbili dhidi ya azam kwa chama ukiona kafunga ujue mechi ilikua nyepesi na simba kashinda sio chini ya goli 3)
KwahiyoFei ana kasi zaidi, anacheza nafasi nyingi uwanjani (8 na 10), anaziweza mechi zenye tempo kubwa ( kwenye game kama hizi chama huwa anakua mzululaji tu uwanjani), ni mzuri katika kupiga mashuti ya mbali(rejea semi final fa cup msimu uliopita), anafunga magoli muhimu sana(rejea goli la jmos dhidi ya prisons na goli mbili dhidi ya azam kwa chama ukiona kafunga ujue mechi ilikua nyepesi na simba kashinda sio chini ya goli 3)
[emoji38][emoji38] unadhani ukimuuliza Leo the same question.....atajibu hivyo???Kwa Leo Sina mengi.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2438002
Uzoefu wakucheza champions nyingifeisal ni mzuri kwa ligi ya tanzania tu kwengine hana tofauti na mamba nchi kavu anakuwa hana makali wakati chama hata kimataifa anafanya mambo yale yale waulize vital all ahyl kaizer chief gender marine
Wewe ni utopolo na unajibu kiutopoloAsists maana yake ni kuwa.....umeshindwa kufunga ....so unamtengenezea mwingine
Yaani Triple C unamfananisha na Chaijaba?Lakni ndo ana goal nying kuliko Chama anayetumia akili
Umemaliza kila kitu.Chama atabaki kuwa mchezaji wa game ndogo milele