Tukiachana na assist, ni kitu gani Chama anamzidi Fei Toto?

Sawa
 
Kwa Leo Sina mengi.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
JamiiForums1259342468.jpg
 
Fei ana kasi zaidi, anacheza nafasi nyingi uwanjani (8 na 10), anaziweza mechi zenye tempo kubwa ( kwenye game kama hizi chama huwa anakua mzululaji tu uwanjani), ni mzuri katika kupiga mashuti ya mbali(rejea semi final fa cup msimu uliopita), anafunga magoli muhimu sana(rejea goli la jmos dhidi ya prisons na goli mbili dhidi ya azam kwa chama ukiona kafunga ujue mechi ilikua nyepesi na simba kashinda sio chini ya goli 3)
Rejea mechi zenu kati ya RIVERS, VIPERS & AL HILAL.
 
Fei ana kasi zaidi, anacheza nafasi nyingi uwanjani (8 na 10), anaziweza mechi zenye tempo kubwa ( kwenye game kama hizi chama huwa anakua mzululaji tu uwanjani), ni mzuri katika kupiga mashuti ya mbali(rejea semi final fa cup msimu uliopita), anafunga magoli muhimu sana(rejea goli la jmos dhidi ya prisons na goli mbili dhidi ya azam kwa chama ukiona kafunga ujue mechi ilikua nyepesi na simba kashinda sio chini ya goli 3)
Kwahiyo
Mechi hizi zilikuwa nyepesi?

Simba vs Nkana
Simba vs Vita AS

UTOPOLO WENYE AKILI TIMAMU NI WAWILI TU.
WEWE HAUMO
 
feisal ni mzuri kwa ligi ya tanzania tu kwengine hana tofauti na mamba nchi kavu anakuwa hana makali wakati chama hata kimataifa anafanya mambo yale yale waulize vital all ahyl kaizer chief gender marine
 
Mnataka kuwachumisha watu dhambi bure tu, yaan umfananishe chama na fei jamani,
Unajua kuna dhambi zingine ni rahisi kuepuka... (yaan ufike kwa mola wako afu useme fei alikuwa zaidi ya chama hiii)
 
Leta utetezi wako mkuu ..
 
Back
Top Bottom