Tukiachana na assist, ni kitu gani Chama anamzidi Fei Toto?

Serikali iendelee kuzuia mihadarati yanga vs prison mechi ngumu kuliko simba vs Nkana,simba vs Soura , Simba vs Ahly , Simba vs El mereck,Simba vs vita na wengine wengi ambao huyu kiumbe aliweka alama.Tumia akili wewe sio mnyama wa kufugwa
 
Mmoja anaweza kucheza namba 3 ....( Feitoto). Ikiwemo ya Chama ......ila Chama yupo dormant no moja
Mechi za kimataifa zinakuja angalia wote wawili wanavyokutana na wapinzani waliokamilika kiakili na uwezo Nani ataamua mechi za klabu yake.
 
Serikali iendelee kuzuia mihadarati yanga vs prison mechi ngumu kuliko simba vs Nkana,simba vs Soura , Simba vs Ahly , Simba vs El mereck,Simba vs vita na wengine wengi ambao huyu kiumbe aliweka alama.Tumia akili wewe sio mnyama wa kufugwa
[emoji1][emoji1]
 
Chama ana umri mkubwa kuliko fei
 
Kwanza fanya kujumlisha hizo goals and assist.
Pili Fei kacheza mechi 3 zaidi ya Chama.
Tatu, Chama ndiye MVP wa 2022/2023 bila kupepesa macho.
 
Serikali iendelee kuzuia mihadarati yanga vs prison mechi ngumu kuliko simba vs Nkana,simba vs Soura , Simba vs Ahly , Simba vs El mereck,Simba vs vita na wengine wengi ambao huyu kiumbe aliweka alama.Tumia akili wewe sio mnyama wa kufugwa
Mbona hujaweka Yanga vs ngada fc pale ccm kirumba nusu fainali ya fa last season au ile si miongoni ya match zenu ngumu?unatuletea takwimu za match za kipindi cha corona while wenzetu walikua wanacheza wakitokea nyumbani sie ligi ikiendelea!
 
Tukuulize na wewe, tukiachana na magoli, kitu gani kingine Fei anamzidi Chama?
 
Tunasubiria ratiba za group stages
Unasubiriaje ratiba za group stage wakati mechi zimechezwa tayari au akuna izo game Al hilaly Vs yanga apo akuna takwimu? Africain club apo Napo wale jamaa wa sudan vipi?
akuna takwimu za fei apo

Nyasa big bullet tayr mwamba kule Malawi alishatoa assist 2 kwa phiri na captain bocco
Pale Angola zidi ya de Augusto
Mwamba chama alifunga na assist kwa phiri hizi hapa vipi mpaka Tusubiri group stage au hizi sio takwimu??? Majbu mleta uzi please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…