Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sawa lakini akili za Mwamba na Feitoto ni mbingu na ardhi.Hapana mkuu..... asists maana yake ni kuwa una mpira .....then huwezi kufunga .....so unampa mwenyeuwezo + chance ya kufunga
HUNA AKILIHakika...
Sasa unamwekaje level moja na maMVP?Hapana hajawahi kuwa
HUNA AKILIHapana mkuu..... asists maana yake ni kuwa una mpira .....then huwezi kufunga .....so unampa mwenyeuwezo + chance ya kufunga
Serikali iendelee kuzuia mihadarati yanga vs prison mechi ngumu kuliko simba vs Nkana,simba vs Soura , Simba vs Ahly , Simba vs El mereck,Simba vs vita na wengine wengi ambao huyu kiumbe aliweka alama.Tumia akili wewe sio mnyama wa kufugwaFei anampa kile anachokitaka mwl na tena timu yake ikicheza kiwanja chochote na timu yoyote,fei anaweza kumpa mwalimu huduma ya defensive box to box,attacking na vile vile holding middle field (6,8 na 10)anafunga anakaba mwl ana uwezo wa kumtumia vyovyote vile na popote pale sio huyo mchezaji wenu wa match za mchongo na kidar city hao au na dada zenu kina azam,coast,namungo,ruvu n.k,match tough kama ya juzi sahau chama kukupa chochote
Mechi za kimataifa zinakuja angalia wote wawili wanavyokutana na wapinzani waliokamilika kiakili na uwezo Nani ataamua mechi za klabu yake.Mmoja anaweza kucheza namba 3 ....( Feitoto). Ikiwemo ya Chama ......ila Chama yupo dormant no moja
[emoji1][emoji1]Serikali iendelee kuzuia mihadarati yanga vs prison mechi ngumu kuliko simba vs Nkana,simba vs Soura , Simba vs Ahly , Simba vs El mereck,Simba vs vita na wengine wengi ambao huyu kiumbe aliweka alama.Tumia akili wewe sio mnyama wa kufugwa
Chama ana umri mkubwa kuliko feiBaada ya kufatilia uchezaji wa hawa miamba, Chama the brain football na Feitoto aka KDB nmegundua jambo hili. Kwa mpira wa kisasa Feitoto ni Bora kuliko Chama
Takwimu zao
Chama....goal 2 but asists 7
Feitoto goal 5 but asists 2
Maoni: Weka ushabiki kando.....takwimu ziongee.
View attachment 2436617
Kwanza fanya kujumlisha hizo goals and assist.Baada ya kufatilia uchezaji wa hawa miamba, Chama the brain football na Feitoto aka KDB nmegundua jambo hili. Kwa mpira wa kisasa Feitoto ni Bora kuliko Chama
Takwimu zao
Chama....goal 2 but asists 7
Feitoto goal 5 but asists 2
Maoni: Weka ushabiki kando.....takwimu ziongee.
View attachment 2436617
Mbona hujaweka Yanga vs ngada fc pale ccm kirumba nusu fainali ya fa last season au ile si miongoni ya match zenu ngumu?unatuletea takwimu za match za kipindi cha corona while wenzetu walikua wanacheza wakitokea nyumbani sie ligi ikiendelea!Serikali iendelee kuzuia mihadarati yanga vs prison mechi ngumu kuliko simba vs Nkana,simba vs Soura , Simba vs Ahly , Simba vs El mereck,Simba vs vita na wengine wengi ambao huyu kiumbe aliweka alama.Tumia akili wewe sio mnyama wa kufugwa
Unasubiriaje ratiba za group stage wakati mechi zimechezwa tayari au akuna izo game Al hilaly Vs yanga apo akuna takwimu? Africain club apo Napo wale jamaa wa sudan vipi?Tunasubiria ratiba za group stages