Tukiachana na assist, ni kitu gani Chama anamzidi Fei Toto?

Tukiachana na assist, ni kitu gani Chama anamzidi Fei Toto?

Mm nadeclare interest...kwa Yanga huwa namkubali Fei baby...ilaaa huwezi mlinganisha na Chama kwa ufundi hata kidogo..hapa hatulinganishi mbio kwa sbb hatuko kwenye mashindano ya riadha..unaweza ukawa na mbio kama tuisila na ukachoka tuu kabla game kuisha usipate lolotee...

Unaweza ukacheza kwa taratibu kama Chama huku kichwani akifanya calculations za kibabe na kuisaidia timu ku score maana kazi yake sio kufunga...

Feitoto ni mwokozi wa Yanga pale timu inapoenda kushindwa yy huwa anapambana lilwalo na liwe goli lipatikane na huwa anafunga anategea timu pinzani imechoka haimkumbuki na yeye anafanya jambo.
 
Hii nchi hatupo serious na mambo yetu, kama tunaweza kumlinganisha mchezaji fundi kama Chama na vitu vya kijinga, tutaweza kweli kudai katiba mpya?
Katiba ya nn mkuu....mbna Kila kitu kipo as well as planned
 
Marehemu Hans Pop baada ya mechi ya Simba na Yanga anasema anatamani awatandike na Rungu, Chama na Luis Kwa viwango wanavyo onyesha ila wakikutana na timu ndogo Wana jitutumua kwelikweli.
Yule jamaa angekuwepo....hakika Simba ingekuwa level za mbele sana
 
Kwanini tuachane na assist? Haya twende unakotaka wewe toka chama aje tz ana goli ngapi na fei toto ana ngapi?

Tucheki ratio ya goal/game
Hii tuweke kipolo.....tutafuatilia after Ligue kuisha...
 
Kwa maoni yangu, anayetoa assist ni muhimu zaidi maana anatafunia watu wakameze kiulaini.

Hata ukiwa mmaliziaji mzuri ila hauna mtu wa kukupa mipira rahisi ya kuimalizia inakuwa ngumu kwako kumalizia.
Huoni kuwa ...anatengeneza bomu kubwa .....siku hayupo

Refer zile game Chama akikosekana
 
We jamaa kweli kimichezo upo nyuma, huo ndio ulinganishi wakumpata mchezaji bora zaidi kwakuangalia matokeo ya league tena hata msimu haujaisha?!
Nakudharau kwa kumlinganisha Feasal kwa Chama. Kwa mpira wa kibongo bongo Chama ndiye bora kuliko Aziz na huyo dogo mbahatishaji Feasal
Umetumia vigezo Gani kumpima
 
Jibu hili hapa
IMG-20221204-WA0105.jpg
 
Mm nadeclare interest...kwa Yanga huwa namkubali Fei baby...ilaaa huwezi mlinganisha na Chama kwa ufundi hata kidogo..hapa hatulinganishi mbio kwa sbb hatuko kwenye mashindano ya riadha..unaweza ukawa na mbio kama tuisila na ukachoka tuu kabla game kuisha usipate lolotee...

Unaweza ukacheza kwa taratibu kama Chama huku kichwani akifanya calculations za kibabe na kuisaidia timu ku score maana kazi yake sio kufunga...

Feitoto ni mwokozi wa Yanga pale timu inapoenda kushindwa yy huwa anapambana lilwalo na liwe goli lipatikane na huwa anafunga anategea timu pinzani imechoka haimkumbuki na yy anafanya jambo.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Point niliyopata hapa ni kuwa .....Kuna mmoja japo inasemekana yupo slow .....but anatumia akili kubwa kusongesha timu

Mwingine ana struggle liwalo na liwe kupata matokeo
 
Back
Top Bottom