Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah mwigulu atawauwa nyieJibu hili hapaView attachment 2436874
Well understood[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Point niliyopata hapa ni kuwa .....Kuna mmoja japo inasemekana yupo slow .....but anatumia akili kubwa kusongesha timu
Mwingine ana struggle liwalo na liwe kupata matokeo
Haa haa haaaDaaah mwigulu atawauwa nyie
Haswa ile game ya mwisho na Yanga aliyotoa assistChama atabaki kuwa mchezaji wa game ndogo milele
Mbona takwimu za kucheza champion league HAZIPO? . Hauko sawa kichwanRejelea takwimu mkuu....
waafrika wengi akili zao ndogo ukiwemo wewe kama utazaa mtoto muombe Mungu asichukue akili zako hata 1 %, AS VITA, AL AHLY,NKANA,EL MERECK, JS SAURA, KAIZER CHIEF,ASEC,BERKANE na wengine wengi waliopata adhabu Kwa hao viumbe ni Team ndogo? kwa akili Yako kama mbegu ya mchicha YANGA team kubwa kuliko niliowataja.Marehemu Hans Pop baada ya mechi ya Simba na Yanga anasema anatamani awatandike na Rungu, Chama na Luis Kwa viwango wanavyo onyesha ila wakikutana na timu ndogo Wana jitutumua kwelikweli.
Mechi za timu ndogo ndogo ni kama hizi:...Chama na Luis Kwa viwango wanavyo onyesha ila wakikutana na timu ndogo Wana jitutumua kwelikweli.
Walianza chama vs aucho, ikaja aziz ki ss hv feisal. Jmn chama ni mmoja tu na hana mpinzani na hakuna wa kufananishwa nae bongo hiiIlikua Chama vs Aziz Ki,
imekuja Chama vs Feisal!
Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC, Punda FC, Bwimbwi FC hao wanasumbua sana kila siku tunamsikia kutoa matamko yanayohusiana na Puli tu.Acha kufananisha mtu aliyefika robo fainal CAF zaidi ya mara 4 huyo tapeli wa magomeni
Feisal yupiFeisal mwenyewe ukimuuliza ni mchezaji gani anayemuogopa kumkaba kwa pupa ili asiaibike kwa kurambishwa nyasi atakwambia ni chama . Sasa wewe kinyangaragata wa madimbwini huko ndo unakuja kuanzisha nyuzi za ajabuajabu kama hizi.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app