Tukiachana na Masuala ya kutekana , hali ya kiusalama mitaani sio nzuri, Serikali iingilie kati .

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Matukio ya uhalifu ni mengi sana ,mengine yanaripotiwa na vyombo vya habari , mengine tunakutana nayo kwenye mitandao ya kijamii lakini kuna mengine hayaonekani popote .

Tunakoelekea watu wataogopa kufanya biashara na shughuli zao

Watu wanaofanya shughuli zao usiku wataogopa kuendelea nazo

Serikali na vyombo vya usalama vifanye jambo .
 
kuna suala la kutoana kafara na kuchukuana misukule, lipo lakini linafumbiwa macho na halisemwi na wengi hawataki kulisikia wala kuamini...

wanasiasa waache ushirikina na ramli chonganishi 🐒
 
Matukio ya uhalifu ni mengi sana ,mengine yanaripotiwa na vyombo vya habari , mengine tunakutana nayo kwenye mitandao ya kijamii lakini kuna mengine hayaonekani popote .

Tunakoelekea watu wataogopa kufanya biashara na shughuli zao

Watu wanaofanya shughuli zao usiku wataogopa kuendelea nazo

Serikali na vyombo vya usalama vifanye jambo .
Kushamiri kwa matukio ya uhalifu ni ishara tosha kwamba hali za maisha kwa wananchi walio wengi zaidi imedorora, uchumi wa mtu mmoja mmoja umepungua kwa kasi kubwa sana.
 
1. Ukiona mkuu wa mkoa anasema msiwape polisi lawama na mtafute njia mbadala za kujilinda
2. Ukisikia malalamiko ya upinzani juu ya vyombo vya usalama na hakuna uwajibikaji
3. Ukisikia polisi wanashiriki kufanya ukatili wa kijinsia na hakuna maamuzi ya kisheria
4. Ukisikia polisi wanatumika kisiasa

elewa kwamba haya yanatokea kwa sababu na wakati sahihi
 
Ni vyema ukaenda kuripoti haya malalamiko kituo cha polisi wao wanajukumu la kukupa ulinzi kama wataona wanashindwa wanaweza kukuombea mahakamani ili upelekwe mahabusu ukakae chini ya ulinzi wa bwana jela
 
elewa kwamba haya yanatokea kwa sababu na wakati s

Tushakuwa lawless kantri
 
Ni vyema ukaenda kuripoti haya malalamiko kituo cha polisi wao wanajukumu la kukupa ulinzi kama wataona wanashindwa wanaweza kukuombea mahakamani ili upelekwe mahabusu ukakae chini ya ulinzi wa bwana jela

Nakumbuka Zimbabwe iliomba huduma ya polisi ifanywe na wachina, pia kule Haiti wamepelekwa polisi wa kenya

acha chuki izidi kati ya raia na polisi tuone itakuwaje
 
Ifike mahali tutembee na silaha za kujihami hasa nyakati za Usiku! Wakurya siyo wajinga wanapotembea na mapanga ambayo wameyaficha kwenye makoti! Wamasai tusiwaone ni wajinga wanapotembea na Sime viunoni.
Hakikisha ndani ya Nyumba una silaha yo yote mf.Panga,Mkuki,nk
Tunakokwenda swala la Usalama litkuwa juu ya raia mwenyewe!
 
Kutokana na hali ya kudorora kwa usalama wa Wananchi hapa nchini, kuna ulazima wa kutembea au kumiliki silaha muda wote kwa ajili ya ulinzi binafsi au kwa ajili ya kujihami dhidi ya hatari ya vitendo vya utekaji.

Aidha, kuna ULAZIMA wa kubadilisha Sheria zetu na Katiba iliyopo ili suala la Kumiliki Silaha za Moto Kama vile Bunduki au Bastola iwe ni haki ya kila raia wa nchi ambaye mwenye umri wa utu uzima na mwenye akili timamu sawa sawa.
Hii itasaidia Sana kupunguza au kukomesha kabisa matukio ya watu kutekwa kiholela.
 
Ni vyema ukaenda kuripoti haya malalamiko kituo cha polisi wao wanajukumu la kukupa ulinzi kama wataona wanashindwa wanaweza kukuombea mahakamani ili upelekwe mahabusu ukakae chini ya ulinzi wa bwana jela
hahahaha nchi hii wajinga wengi sana
 
Matukio ya uhalifu ni mengi sana ,mengine yanaripotiwa na vyombo vya habari , mengine tunakutana nayo kwenye mitandao ya kijamii lakini kuna mengine hayaonekani popote .

Tunakoelekea watu wataogopa kufanya biashara na shughuli zao

Watu wanaofanya shughuli zao usiku wataogopa kuendelea nazo

Serikali na vyombo vya usalama vifanye jambo .
Nyerere alisema ukishatenda dhambi ya ubaguzi hautoiacha ,ngoja waendelee kututeka tu watatumaliza kisha wataanza kutekana wao kwa wao ,tukisha fika huko basi solution itapatikana ,Jana zanzibar mwenzao amekutwa amefariki.
 
Hali ya usalama si nzuri kabisaaa, kuna kaeneo huku nilipo ni kama kambi ya yule muuza madawa mkubwa Duniani. Ukatili,uuaji,ubabe,wizi na madawa ni kitu cha kawaida tu.
Inasikitisha sn
 
1. Ukiona mkuu wa mkoa anasema msiwape polisi lawama na mtafute njia mbadala za kujilinda
2. Ukisikia malalamiko ya upinzani juu ya vyombo vya usalama na hakuna uwajibikaji
3. Ukisikia polisi wanashiriki kufanya ukatili wa kijinsia na hakuna maamuzi ya kisheria
4. Ukisikia polisi wanatumika kisiasa

elewa kwamba haya yanatokea kwa sababu na wakati sahihi
Elewa kwamba jamii imelala
 
Kutokana na hali ya kudorora kwa usalama wa Wananchi hapa nchini, kuna ulazima wa kutembea au kumiliki silaha muda wote kwa ajili ya ulinzi binafsi au kwa ajili ya kujihami dhidi ya hatari ya vitendo vya utekaji.

Aidha, kuna ULAZIMA wa kubadilisha Sheria zetu na Katiba iliyopo ili suala la Kumiliki Silaha za Moto Kama vile Bunduki au Bastola iwe ni haki ya kila raia wa nchi ambaye mwenye umri wa utu uzima na mwenye akili timamu sawa sawa.
Hii itasaidia Sana kupunguza au kukomesha kabisa matukio ya watu kutekwa kiholela.

Ngoja nikukumbushe visa 2
unamkumbuka yule jamaa aliitwa Hamza alichofanya kwa polisi walipo mdhulumu madini$ yake alichokifanya?

unakumbuka wale askari wa mtwara waliomfanyia tukio muuza madini alafu wakawekwa selo asbh wakakuta mwenzao mmoja amekufa kizembe bila hatia?

dhuruma, utekaji, uuaji sio jambo jema ni hatari sana
 
Matukio ya uhalifu ni mengi sana ,mengine yanaripotiwa na vyombo vya habari , mengine tunakutana nayo kwenye mitandao ya kijamii lakini kuna mengine hayaonekani popote .

Tunakoelekea watu wataogopa kufanya biashara na shughuli zao

Watu wanaofanya shughuli zao usiku wataogopa kuendelea nazo

Serikali na vyombo vya usalama vifanye jambo .
Hali ni mbaya sn
 
Hali ya usalama si nzuri kabisaaa, kuna kaeneo huku nilipo ni kama kambi ya yule muuza madawa mkubwa Duniani. Ukatili,uuaji,ubabe,wizi na madawa ni kitu cha kawaida tu.
Inasikitisha sn

Wapi huko? Nije kutembelea
 
Back
Top Bottom