Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
kuna suala la kutoana kafara na kuchukuana misukule, lipo lakini linafumbiwa macho na halisemwi na wengi hawataki kulisikia wala kuamini...Matukio ya uhalifu ni mengi sana ,mengine yanaripotiwa na vyombo vya habari , mengine tunakutana nayo kwenye mitandao ya kijamii lakini kuna mengine hayaonekani popote .
Tunakoelekea watu wataogopa kufanya biashara na shughuli zao
Watu wanaofanya shughuli zao usiku wataogopa kuendelea nazo
Serikali na vyombo vya usalama vifanye jambo .
Kushamiri kwa matukio ya uhalifu ni ishara tosha kwamba hali za maisha kwa wananchi walio wengi zaidi imedorora, uchumi wa mtu mmoja mmoja umepungua kwa kasi kubwa sana.Matukio ya uhalifu ni mengi sana ,mengine yanaripotiwa na vyombo vya habari , mengine tunakutana nayo kwenye mitandao ya kijamii lakini kuna mengine hayaonekani popote .
Tunakoelekea watu wataogopa kufanya biashara na shughuli zao
Watu wanaofanya shughuli zao usiku wataogopa kuendelea nazo
Serikali na vyombo vya usalama vifanye jambo .
Hivi ule mpango wa biashara kufanyika masaa 24 Kariakoo uliishia wapi ?? Na je, kwa mwenendo huu mpango huo utawezekana??Tunakoelekea watu wataogopa kufanya biashara na shughuli zao
Watu wanaofanya shughuli zao usiku wataogopa kuendelea nazo
vitu vingine inahitajika kuchukua ushauri tuWeka ushahidi vinginevyo ni uzushi Wenzako huko Simiyu wametiwa ndani
1. Ukiona mkuu wa mkoa anasema msiwape polisi lawama na mtafute njia mbadala za kujilinda
2. Ukisikia malalamiko ya upinzani juu ya vyombo vya usalama na hakuna uwajibikaji
3. Ukisikia polisi wanashiriki kufanya ukatili wa kijinsia na hakuna maamuzi ya kisheria
4. Ukisikia polisi wanatumika kisiasa
elewa kwamba haya yanatokea kwa sababu na wakati s
Ni vyema ukaenda kuripoti haya malalamiko kituo cha polisi wao wanajukumu la kukupa ulinzi kama wataona wanashindwa wanaweza kukuombea mahakamani ili upelekwe mahabusu ukakae chini ya ulinzi wa bwana jela
Nakumbuka Zimbabwe iliomba huduma ya polisi ifanywe na wachina, pia kule Haiti wamepelekwa polisi wa kenya
acha chuki izidi kati ya raia na polisi tuone itakuwaje
Ifike mahali tutembee na silaha za kujihami hasa nyakati za Usiku! Wakurya siyo wajinga wanapotembea na mapanga ambayo wameyaficha kwenye makoti! Wamasai tusiwaone ni wajinga wanapotembea na Sime viunoni.
Hakikisha ndani ya Nyumba una silaha yo yote mf.Panga,Mkuki,nk
Tunakokwenda swala la Usalama litkuwa juu ya raia mwenyewe!
hahahaha nchi hii wajinga wengi sanaNi vyema ukaenda kuripoti haya malalamiko kituo cha polisi wao wanajukumu la kukupa ulinzi kama wataona wanashindwa wanaweza kukuombea mahakamani ili upelekwe mahabusu ukakae chini ya ulinzi wa bwana jela
Nyerere alisema ukishatenda dhambi ya ubaguzi hautoiacha ,ngoja waendelee kututeka tu watatumaliza kisha wataanza kutekana wao kwa wao ,tukisha fika huko basi solution itapatikana ,Jana zanzibar mwenzao amekutwa amefariki.Matukio ya uhalifu ni mengi sana ,mengine yanaripotiwa na vyombo vya habari , mengine tunakutana nayo kwenye mitandao ya kijamii lakini kuna mengine hayaonekani popote .
Tunakoelekea watu wataogopa kufanya biashara na shughuli zao
Watu wanaofanya shughuli zao usiku wataogopa kuendelea nazo
Serikali na vyombo vya usalama vifanye jambo .
Elewa kwamba jamii imelala1. Ukiona mkuu wa mkoa anasema msiwape polisi lawama na mtafute njia mbadala za kujilinda
2. Ukisikia malalamiko ya upinzani juu ya vyombo vya usalama na hakuna uwajibikaji
3. Ukisikia polisi wanashiriki kufanya ukatili wa kijinsia na hakuna maamuzi ya kisheria
4. Ukisikia polisi wanatumika kisiasa
elewa kwamba haya yanatokea kwa sababu na wakati sahihi
Kutokana na hali ya kudorora kwa usalama wa Wananchi hapa nchini, kuna ulazima wa kutembea au kumiliki silaha muda wote kwa ajili ya ulinzi binafsi au kwa ajili ya kujihami dhidi ya hatari ya vitendo vya utekaji.
Aidha, kuna ULAZIMA wa kubadilisha Sheria zetu na Katiba iliyopo ili suala la Kumiliki Silaha za Moto Kama vile Bunduki au Bastola iwe ni haki ya kila raia wa nchi ambaye mwenye umri wa utu uzima na mwenye akili timamu sawa sawa.
Hii itasaidia Sana kupunguza au kukomesha kabisa matukio ya watu kutekwa kiholela.
Hali ni mbaya snMatukio ya uhalifu ni mengi sana ,mengine yanaripotiwa na vyombo vya habari , mengine tunakutana nayo kwenye mitandao ya kijamii lakini kuna mengine hayaonekani popote .
Tunakoelekea watu wataogopa kufanya biashara na shughuli zao
Watu wanaofanya shughuli zao usiku wataogopa kuendelea nazo
Serikali na vyombo vya usalama vifanye jambo .
Hali ya usalama si nzuri kabisaaa, kuna kaeneo huku nilipo ni kama kambi ya yule muuza madawa mkubwa Duniani. Ukatili,uuaji,ubabe,wizi na madawa ni kitu cha kawaida tu.
Inasikitisha sn