sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
-
- #61
Nimekaa Arusha hao watu wana asili zao tofauti labda tu ni kwamba Wachaga walijisogeza Arusha kuziwahi fursa za mji huo kwenye mambo ya Hoteli, utalii, Biashara.Wameru,Waarusha,na Wagweno huwezi kuwatofautisha na wachaga hata lugha zao zinaingiliana.
Huo ni utamaduni wenu uliozoeleka wa kukana ndugu zenu kwa kuwaita wakahe, wakamba, n.k. Kwani Kahe ipo iringa au moshi kwa wachaga? Kingine hatuna kabila la wakahe bali tunao wachaga.Kama sio ujuha n nn, Kahe sio kwa wachaga hata kidogo, wapo Wakahe wenyewe, Wakamba na Wataita kutokea chocho la kitobo na wahamiaji wengine kuchunga na kulima mpunga
Yako wazi wewe kiazi. Mkiacha kubadili ndugu zenu kuwa mandondocha ndiyo utarudi hapa utoe ushuhuda.Pumbaaa na povu kama lote na chuki binafsi zimekujaa juu ya wachaga, hayo matambiko ya kichawi uliyaona? Au ndoto zako za mchana, tafuta hela acha porojo.
Waulize wahusika maana yake ni nini na inakuwa wapi na kwa watu wa namna gani na wanafanya nini huko
Ni kweli kabisa, ukikuta Mchaga mshirikina basi ujue ameununua na Mganga wake ni aidha Msambaa au Mha au wa kabia lingine la kiswahili swahiliUongo, kwanza wahaya hawaendi kwao kama wachaga, tupo nao mjini January to December. Pili, wachaga ndio kabila least kwenye ushirikina, dini ya ukristo imefuta mila sana , japo kwa nadra mtu mmoja mmoja anaweza kuwa na mambo hayo, ila in general ndio kabila linaongoza kwa hofu ya Mungu, angalia idadi ya wachungaji na mapadri, we huwajui. Ignorance inakusumbua, alafu pia punguza husda. Itakusaidia.
Unaweza kuthibitisha hili? Una ushahidi uuweke hapa?Acha kuongopea wasiowajua kijana. Achana na masuala ya idadi ya wachungaji na mapadri. Eti kabila least kwenye ushirikina!!. Thubutu. Ni mchaga unayetumia nguvu kuficha uozo wenu ili wanaosoma hapa waone mko sawa. Ndugu zangu walioa na kuolewa huko. Kinachoendelea huko disemba mnakijua. Nimezunguka kwenye maeneo yenu kwa miaka 14. Utaumbuka kijana. Ulishakaa chini ni kwanini mnazika sana ndugu zenu kila baada ya disemba na pasaka?. Ukijibu hilo utajua kwanini nimesema tofauti ya nyie na wahaya ni matambiko ya kichawi
Wewe unasema wahaya uko nao january to december wakari huo huo unasema unaenda kwenu disemba..sasa hiyo disemba unakuwa nao wapi??? Ukirejea post yangu iko wazi kabisa
Msipotuacha, sisi tutawaachahaachiki mtu hapa............Makonda kaja kuikoleza ndoa
Wapo WameruHakuna zaid ya wachaga kwa wingi wao wengine labda waige yani wale ndo wana wa Israel
Huna ulijualo. Nenda huko kwa wanyambo ambako baadhi ya wachaga walibahatika kuuziwa mashamba ya kulima kahawa. Mandondocha yamejaaKule ndio watu wasiojua uchawi wanapatikana Tanzania hii. Huko watu wasipoweza kufanya maendeleo vijijini ndiko uchawi imejaa.
Nimeshakuthibitishia hilo. Wewe sasa ndiye uje na ushahidi wa kupinga nilichokiandikaUnaweza kuthibitisha hili? Una ushahidi uuweke hapa?
Kama una ufahamu na uelewa, mimi sijapinga wala kukubali hilo, ila nimekuomba uweke ushahidi wenye logic, kwa mfano unaweza kusema...Huna ulijualo. Nenda huko kwa wanyambo ambako baadhi ya wachaga walibahatika kuuziwa mashamba ya kulima kahawa. Mandondocha yamejaa
Nimeshakuthibitishia hilo. Wewe sasa ndiye uje na ushahidi wa kupinga nilichokiandika
Hakuna unachokijua!Acha kuongopea wasiowajua kijana. Achana na masuala ya idadi ya wachungaji na mapadri. Eti kabila least kwenye ushirikina!!. Thubutu. Ni mchaga unayetumia nguvu kuficha uozo wenu ili wanaosoma hapa waone mko sawa. Ndugu zangu walioa na kuolewa huko. Kinachoendelea huko disemba mnakijua. Nimezunguka kwenye maeneo yenu kwa miaka 14. Utaumbuka kijana. Ulishakaa chini ni kwanini mnazika sana ndugu zenu kila baada ya disemba na pasaka?. Ukijibu hilo utajua kwanini nimesema tofauti ya nyie na wahaya ni matambiko ya kichawi
Wewe unasema wahaya uko nao january to december wakari huo huo unasema unaenda kwenu disemba..sasa hiyo disemba unakuwa nao wapi??? Ukirejea post yangu iko wazi kabisa
WasNi kweli kabisa, ukikuta Mchaga mshirikina basi ujue ameununua na Mganga wake ni aidha Msambaa au Mha au wa kabia lingine la kiswahili swahili
Kama una ufahamu na uelewa, mimi sijapinga wala kukubali hilo, ila nimekuomba uweke ushahidi wenye logic, kwa mfano unaweza kusema...
Mzee flani (kwa jina) wa kichaga amefanya uchawi wa aina flani (utaje) ili tusiamini kuwa nawewe umesikia tu story isiyo na ukwe
Ebu twambie mnavyoalika watu kwenye makazi yenu yale maji wanayonawa kabla na baada ya kula huwa mnayafanyia nini sababu huwa hayamwagwi bali mnaweka kwenye vidumu mnapeleka ndani ya nyumba. Twambie yanakuwa na kazi gani huko ndani.Hakuna unachokijua!
Wewe ni miongoni mwa wale watu ambao ukiona JIRANI ana maendeleo basi tayari ni Freemason au Msukule!
Huo ni Ujinga mkubwa sana!
Kilimanjaro hawana upuuzi huo!
Ati Walemavu wengi...like Seriously?
Watu wanafanya kazi acha kabisa!
Kumbuka kwanza kipindi Biashara za Dubai na China zilipoanza ni Wachaga na Wapare walijaa kule kuchukua Fursa!
Ina maana waliwaloga wenzao wasione izo fursa?
Christmas watu wanakutana kusherekea SIKUKUU kwa Sababu ya Mapokeo ya Dini lakini pia kujitathmini kwenye level za Maendeleo ya kila mwanafalia!
Christmas hakuna mtu anafanyaga hata Mila kwa Sababu wageni wanatembeleana sana!
Kazi ni Moja tu-Kula na Kufurahi basi!
Huo ndio Utamaduni wa wachaga!
Makabila mengine yanakwama kwa Sababu ya Husda!
Mtu akijenga tu nyumba ya Bati huko kijijini kwao ajiandae kupigwa kitu...!
Kilimanjaro ukijenga Nyumba nzuri mwaka huu ujiandae mwaka unaofuata watajenga Nyumba KALI ZAIDI!
SASA hapo utajua mshirikina ni nani...!
Kwa namna yako tu ya kuwaza tyr wewe ni Mshirikina!Was
Ebu twambie mnavyoalika watu kwenye makazi yenu yale maji wanayonawa kabla na baada ya kula huwa mnayafanyia nini sababu huwa hayamwagwi bali mnaweka kwenye vidumu mnapeleka ndani ya nyumba. Twambie yanakuwa na kazi gani huko ndani.
Kila kitu kwako ni uchawi huenda wewe ni mwanga kabisa aisee, yani wewe ni mchawi unaefanya baadhi ya wahaya waogope kurudi vijijiniWas
Ebu twambie mnavyoalika watu kwenye makazi yenu yale maji wanayonawa kabla na baada ya kula huwa mnayafanyia nini sababu huwa hayamwagwi bali mnaweka kwenye vidumu mnapeleka ndani ya nyumba. Twambie yanakuwa na kazi gani huko ndani.
Utamduni huu upo kwa Wachaga na Wahaya tu. Wahaya wamekuwa na utamaduni huo tangu enzi na enzi. Mpaka kurudi wamekuandika kwenye vitabu vinavyotumia lugha yao. Tofauti Wahaya hawafanyi matambiko ya kichawi kama wafanyavyo wachaga. Wale walioko nje ya nchi wanakutana kwenye mizizi yao kwa muda wanaokuwa wamepanga siyo iwe kwenye kipindi kimoja cha sikukuu.
Nasema matambiko ya KICHAWI kwasababu Kilimanjaro (wilaya za wachaga) ukitoa Wapare kwa mujibu wa taarifa za NBS ndiyo inaongoza kwa kuwa na watu wenye ulemavu. Ulemavu huu si wa kuzaliwa bali ni ule wa kichwawi wa mali ambao kila disemba lazima watimize masharti ya kumwaga damu.
Nacho ni kitu cha kujisifia?hongera zaoo...sisi sukumaa tunawazaa ngonoo full time!
Hao ni Wanyambo wanajulikana kwa uchawi na mengine.Huna ulijualo. Nenda huko kwa wanyambo ambako baadhi ya wachaga walibahatika kuuziwa mashamba ya kulima kahawa. Mandondocha yamejaa
Nimeshakuthibitishia hilo. Wewe sasa ndiye uje na ushahidi wa kupinga nilichokiandika
Acha kusingizia wengine sababu watakucheka l. Wachaga wenzio walienda kwa watu na tabia zenu mbovu undondocha mwishowe wakaumbuka kama alivyoumbuka yule ndugu yenu wa dar pale mbezi kama siyo kimaraHao ni Wanyambo wanajulikana kwa uchawi na mengine.