Tukiachana na wachaga, Kuna kabila lingine lina utamaduni wa kurudi na kujumuika kwenye vijiji vya mizizi yao nje ya misiba?

Tukiachana na wachaga, Kuna kabila lingine lina utamaduni wa kurudi na kujumuika kwenye vijiji vya mizizi yao nje ya misiba?

Wameru,Waarusha,na Wagweno huwezi kuwatofautisha na wachaga hata lugha zao zinaingiliana.
Nimekaa Arusha hao watu wana asili zao tofauti labda tu ni kwamba Wachaga walijisogeza Arusha kuziwahi fursa za mji huo kwenye mambo ya Hoteli, utalii, Biashara.

Wameru na waarusha naweza kusema wapo karibu zaidi na wamasai, niliwaona wana utamaduni hata wa kutembea na visu.
 
Kama sio ujuha n nn, Kahe sio kwa wachaga hata kidogo, wapo Wakahe wenyewe, Wakamba na Wataita kutokea chocho la kitobo na wahamiaji wengine kuchunga na kulima mpunga
Huo ni utamaduni wenu uliozoeleka wa kukana ndugu zenu kwa kuwaita wakahe, wakamba, n.k. Kwani Kahe ipo iringa au moshi kwa wachaga? Kingine hatuna kabila la wakahe bali tunao wachaga.
 
Pumbaaa na povu kama lote na chuki binafsi zimekujaa juu ya wachaga, hayo matambiko ya kichawi uliyaona? Au ndoto zako za mchana, tafuta hela acha porojo.
Yako wazi wewe kiazi. Mkiacha kubadili ndugu zenu kuwa mandondocha ndiyo utarudi hapa utoe ushuhuda.
 
Uongo, kwanza wahaya hawaendi kwao kama wachaga, tupo nao mjini January to December. Pili, wachaga ndio kabila least kwenye ushirikina, dini ya ukristo imefuta mila sana , japo kwa nadra mtu mmoja mmoja anaweza kuwa na mambo hayo, ila in general ndio kabila linaongoza kwa hofu ya Mungu, angalia idadi ya wachungaji na mapadri, we huwajui. Ignorance inakusumbua, alafu pia punguza husda. Itakusaidia.
Ni kweli kabisa, ukikuta Mchaga mshirikina basi ujue ameununua na Mganga wake ni aidha Msambaa au Mha au wa kabia lingine la kiswahili swahili
 
Acha kuongopea wasiowajua kijana. Achana na masuala ya idadi ya wachungaji na mapadri. Eti kabila least kwenye ushirikina!!. Thubutu. Ni mchaga unayetumia nguvu kuficha uozo wenu ili wanaosoma hapa waone mko sawa. Ndugu zangu walioa na kuolewa huko. Kinachoendelea huko disemba mnakijua. Nimezunguka kwenye maeneo yenu kwa miaka 14. Utaumbuka kijana. Ulishakaa chini ni kwanini mnazika sana ndugu zenu kila baada ya disemba na pasaka?. Ukijibu hilo utajua kwanini nimesema tofauti ya nyie na wahaya ni matambiko ya kichawi

Wewe unasema wahaya uko nao january to december wakari huo huo unasema unaenda kwenu disemba..sasa hiyo disemba unakuwa nao wapi??? Ukirejea post yangu iko wazi kabisa
Unaweza kuthibitisha hili? Una ushahidi uuweke hapa?
 
Kule ndio watu wasiojua uchawi wanapatikana Tanzania hii. Huko watu wasipoweza kufanya maendeleo vijijini ndiko uchawi imejaa.
Huna ulijualo. Nenda huko kwa wanyambo ambako baadhi ya wachaga walibahatika kuuziwa mashamba ya kulima kahawa. Mandondocha yamejaa
Unaweza kuthibitisha hili? Una ushahidi uuweke hapa?
Nimeshakuthibitishia hilo. Wewe sasa ndiye uje na ushahidi wa kupinga nilichokiandika
 
Huna ulijualo. Nenda huko kwa wanyambo ambako baadhi ya wachaga walibahatika kuuziwa mashamba ya kulima kahawa. Mandondocha yamejaa

Nimeshakuthibitishia hilo. Wewe sasa ndiye uje na ushahidi wa kupinga nilichokiandika
Kama una ufahamu na uelewa, mimi sijapinga wala kukubali hilo, ila nimekuomba uweke ushahidi wenye logic, kwa mfano unaweza kusema...

Mzee flani (kwa jina) wa kichaga amefanya uchawi wa aina flani (utaje) ili tusiamini kuwa nawewe umesikia tu story isiyo na ukweli
 
Acha kuongopea wasiowajua kijana. Achana na masuala ya idadi ya wachungaji na mapadri. Eti kabila least kwenye ushirikina!!. Thubutu. Ni mchaga unayetumia nguvu kuficha uozo wenu ili wanaosoma hapa waone mko sawa. Ndugu zangu walioa na kuolewa huko. Kinachoendelea huko disemba mnakijua. Nimezunguka kwenye maeneo yenu kwa miaka 14. Utaumbuka kijana. Ulishakaa chini ni kwanini mnazika sana ndugu zenu kila baada ya disemba na pasaka?. Ukijibu hilo utajua kwanini nimesema tofauti ya nyie na wahaya ni matambiko ya kichawi

Wewe unasema wahaya uko nao january to december wakari huo huo unasema unaenda kwenu disemba..sasa hiyo disemba unakuwa nao wapi??? Ukirejea post yangu iko wazi kabisa
Hakuna unachokijua!

Wewe ni miongoni mwa wale watu ambao ukiona JIRANI ana maendeleo basi tayari ni Freemason au Msukule!

Huo ni Ujinga mkubwa sana!

Kilimanjaro hawana upuuzi huo!

Ati Walemavu wengi...like Seriously?

Watu wanafanya kazi acha kabisa!

Kumbuka kwanza kipindi Biashara za Dubai na China zilipoanza ni Wachaga na Wapare walijaa kule kuchukua Fursa!

Ina maana waliwaloga wenzao wasione izo fursa?

Christmas watu wanakutana kusherekea SIKUKUU kwa Sababu ya Mapokeo ya Dini lakini pia kujitathmini kwenye level za Maendeleo ya kila mwanafalia!

Christmas hakuna mtu anafanyaga hata Mila kwa Sababu wageni wanatembeleana sana!

Kazi ni Moja tu-Kula na Kufurahi basi!

Huo ndio Utamaduni wa wachaga!

Makabila mengine yanakwama kwa Sababu ya Husda!

Mtu akijenga tu nyumba ya Bati huko kijijini kwao ajiandae kupigwa kitu...!

Kilimanjaro ukijenga Nyumba nzuri mwaka huu ujiandae mwaka unaofuata watajenga Nyumba KALI ZAIDI!

SASA hapo utajua mshirikina ni nani...!
 
Ni kweli kabisa, ukikuta Mchaga mshirikina basi ujue ameununua na Mganga wake ni aidha Msambaa au Mha au wa kabia lingine la kiswahili swahili
Was
Kama una ufahamu na uelewa, mimi sijapinga wala kukubali hilo, ila nimekuomba uweke ushahidi wenye logic, kwa mfano unaweza kusema...

Mzee flani (kwa jina) wa kichaga amefanya uchawi wa aina flani (utaje) ili tusiamini kuwa nawewe umesikia tu story isiyo na ukwe

Hakuna unachokijua!

Wewe ni miongoni mwa wale watu ambao ukiona JIRANI ana maendeleo basi tayari ni Freemason au Msukule!

Huo ni Ujinga mkubwa sana!

Kilimanjaro hawana upuuzi huo!

Ati Walemavu wengi...like Seriously?

Watu wanafanya kazi acha kabisa!

Kumbuka kwanza kipindi Biashara za Dubai na China zilipoanza ni Wachaga na Wapare walijaa kule kuchukua Fursa!

Ina maana waliwaloga wenzao wasione izo fursa?

Christmas watu wanakutana kusherekea SIKUKUU kwa Sababu ya Mapokeo ya Dini lakini pia kujitathmini kwenye level za Maendeleo ya kila mwanafalia!

Christmas hakuna mtu anafanyaga hata Mila kwa Sababu wageni wanatembeleana sana!

Kazi ni Moja tu-Kula na Kufurahi basi!

Huo ndio Utamaduni wa wachaga!

Makabila mengine yanakwama kwa Sababu ya Husda!

Mtu akijenga tu nyumba ya Bati huko kijijini kwao ajiandae kupigwa kitu...!

Kilimanjaro ukijenga Nyumba nzuri mwaka huu ujiandae mwaka unaofuata watajenga Nyumba KALI ZAIDI!

SASA hapo utajua mshirikina ni nani...!
Ebu twambie mnavyoalika watu kwenye makazi yenu yale maji wanayonawa kabla na baada ya kula huwa mnayafanyia nini sababu huwa hayamwagwi bali mnaweka kwenye vidumu mnapeleka ndani ya nyumba. Twambie yanakuwa na kazi gani huko ndani.
 
Kwa namna yako tu ya kuwaza tyr wewe ni Mshirikina!

Who cares?

Yaani maji ya kunawa yanaweza kumsaidia mtu kupata pesa???

Idiot!

Jifunza utamaduni wa Kufanya kazi-Ushirikina haujawahi kumsaidia Mtu kuwa tajiri!
Actually huo ndo umechelewesha makabila mengi sana!

Wewe inaonekana umekaa kidogo huko Uchagani-Nyumba za asili za Uchagani zilikuwa za Nyasi-Msonge-Ulishaziona tena?

Siku hizi watu wanajenga Vyoo vya kisasa vya Nje baada ya Nyumba nyingi kuwa na Vyoo vya Ndani-Unafikiri hayo yanafanyika kwa Sababu za KISHIRIKINA?

Badili namna ya Kufikiri na ikiwa kuna cha kujifunza basi ufanye hivo ili ubadilike!
 
Was

Ebu twambie mnavyoalika watu kwenye makazi yenu yale maji wanayonawa kabla na baada ya kula huwa mnayafanyia nini sababu huwa hayamwagwi bali mnaweka kwenye vidumu mnapeleka ndani ya nyumba. Twambie yanakuwa na kazi gani huko ndani.
Kila kitu kwako ni uchawi huenda wewe ni mwanga kabisa aisee, yani wewe ni mchawi unaefanya baadhi ya wahaya waogope kurudi vijijini
 
Utamduni huu upo kwa Wachaga na Wahaya tu. Wahaya wamekuwa na utamaduni huo tangu enzi na enzi. Mpaka kurudi wamekuandika kwenye vitabu vinavyotumia lugha yao. Tofauti Wahaya hawafanyi matambiko ya kichawi kama wafanyavyo wachaga. Wale walioko nje ya nchi wanakutana kwenye mizizi yao kwa muda wanaokuwa wamepanga siyo iwe kwenye kipindi kimoja cha sikukuu.

Nasema matambiko ya KICHAWI kwasababu Kilimanjaro (wilaya za wachaga) ukitoa Wapare kwa mujibu wa taarifa za NBS ndiyo inaongoza kwa kuwa na watu wenye ulemavu. Ulemavu huu si wa kuzaliwa bali ni ule wa kichwawi wa mali ambao kila disemba lazima watimize masharti ya kumwaga damu.

Kafara ya kuchinja sio uchawi ata waislam wana idd ya kuchinja ata kwenye bible walichinja
 
Huna ulijualo. Nenda huko kwa wanyambo ambako baadhi ya wachaga walibahatika kuuziwa mashamba ya kulima kahawa. Mandondocha yamejaa

Nimeshakuthibitishia hilo. Wewe sasa ndiye uje na ushahidi wa kupinga nilichokiandika
Hao ni Wanyambo wanajulikana kwa uchawi na mengine.
 
Mbona huku 🇰🇪 ni kitu cha kawaida. Msimu wa Krismasi foleni huwa kubwa sana za watu kurudi vijijini (sisi tunaita mashambani). Sio kabila moja huku kwetu.
 
Hao ni Wanyambo wanajulikana kwa uchawi na mengine.
Acha kusingizia wengine sababu watakucheka l. Wachaga wenzio walienda kwa watu na tabia zenu mbovu undondocha mwishowe wakaumbuka kama alivyoumbuka yule ndugu yenu wa dar pale mbezi kama siyo kimara
 
Back
Top Bottom