Acha kuongopea wasiowajua kijana. Achana na masuala ya idadi ya wachungaji na mapadri. Eti kabila least kwenye ushirikina!!. Thubutu. Ni mchaga unayetumia nguvu kuficha uozo wenu ili wanaosoma hapa waone mko sawa. Ndugu zangu walioa na kuolewa huko. Kinachoendelea huko disemba mnakijua. Nimezunguka kwenye maeneo yenu kwa miaka 14. Utaumbuka kijana. Ulishakaa chini ni kwanini mnazika sana ndugu zenu kila baada ya disemba na pasaka?. Ukijibu hilo utajua kwanini nimesema tofauti ya nyie na wahaya ni matambiko ya kichawi
Wewe unasema wahaya uko nao january to december wakari huo huo unasema unaenda kwenu disemba..sasa hiyo disemba unakuwa nao wapi??? Ukirejea post yangu iko wazi kabisa
Hakuna unachokijua!
Wewe ni miongoni mwa wale watu ambao ukiona JIRANI ana maendeleo basi tayari ni Freemason au Msukule!
Huo ni Ujinga mkubwa sana!
Kilimanjaro hawana upuuzi huo!
Ati Walemavu wengi...like Seriously?
Watu wanafanya kazi acha kabisa!
Kumbuka kwanza kipindi Biashara za Dubai na China zilipoanza ni Wachaga na Wapare walijaa kule kuchukua Fursa!
Ina maana waliwaloga wenzao wasione izo fursa?
Christmas watu wanakutana kusherekea SIKUKUU kwa Sababu ya Mapokeo ya Dini lakini pia kujitathmini kwenye level za Maendeleo ya kila mwanafalia!
Christmas hakuna mtu anafanyaga hata Mila kwa Sababu wageni wanatembeleana sana!
Kazi ni Moja tu-Kula na Kufurahi basi!
Huo ndio Utamaduni wa wachaga!
Makabila mengine yanakwama kwa Sababu ya Husda!
Mtu akijenga tu nyumba ya Bati huko kijijini kwao ajiandae kupigwa kitu...!
Kilimanjaro ukijenga Nyumba nzuri mwaka huu ujiandae mwaka unaofuata watajenga Nyumba KALI ZAIDI!
SASA hapo utajua mshirikina ni nani...!