sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Niite utakavyo lakini nachokiona kwa mwacho yangu kwa sasa huu muungano gia zimebadilika angani, Alieuanzisha na kuusimamia kwa kiasi kikubwa kashatutoka na kwa sasa gia zimebdailika na kibao kimewageukia Tanganyika, Tanganyika inakamuliwa vibaya mno aisee japo kwa wazanzibari malalamiko yao ni sawa na mtu alie na maji mengi ila kikombe kimemkinai anataka mrija.
Kwa sasa hivi mambo mengi yamebadilika sana, Mashuti tunayofumuliwa ndani ya box kwa kisingizo cha muungano ni mazito mno, gloves za kudakia zimefuaa na maumivu yameanza kuwa makali,
Zanzibar inaingia zaidi ya mara 350 ili iwe na ukubwa wa Tanganyika lakini uwiano wake wa manufaa anayopata unaona wazi kabisa Tanganyika inabinuliwa.