Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

Vombo vya usalama ni tool ya maccm, usiikane ccm kabla jogoo hajawika.
 
Kumbe na nyinyi kwenye chama chenu huwa mnakufa ?.

Nilidhani nyinyi ni mafundi wa kuteka na kuua tu hivyo kifo nyinyi hakiwanyimi usingizi.

Anyway poleni ila mtakuwa mmejifunza mnaongoza jamii inayowataka au haiwataki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu ashinde match zake...
 
Sasa wewe unashtuka kumuombea mwenzio kufa kwa korona sasa wale walio mpiga mwenzao risasi je?

Kana kwamba haitoshi wakafuta na ushahdi, wakamgeuzia na kesi victim wakamnyang'nya tonge lake wakamdhulumu na mafao yake

Nahisi hata shetani mwenyewe kiwaona hao watu anawaogopa ... Kwa kifupi Shetani anaigopa ile serikali iliyo husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wale waliopanga kumuua Zito bungeni nao ni wapinzani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I love 💔 you
 
Vombo vya usalama ni tool ya maccm, usiikane ccm kabla jogoo hajawika.

Kumbe Unajua? Good. Tunaanza kwenda pamoja Sasa.

Sasa mnahisi mkiombea watanzania wenzenu wapate Corona ndo mtapata Justice?
Alafu "vombo" ni nini?
 
Sawa tu wacha iwe hivyo aisee! Mbona yeye anatutakia vifo Watanzania wote? Yeye ni nani basi tumwogope? Naona unanisema mimi maana niliandika huyohuyo jamaa yako ingempiga yeye kwanza kabla ya Watanzania! Ana kiburi sana!
 
Pascal Mayalla, Mimi nadhani wewe huelewi, kama wewe ni mtafiti mzuri utagundua mbegu hii ilipandwa na wasiojulikana ambao mliwafurahia sana wanasiasa hasa walipodhulumu uhai wa wapinzani na hayo ndiyo yaliwaumiza nchi kama Rwanda.

Wanasaikolojia wanasema mambo haya huisha kwa kuombana msamaha na kukubali kutambuana (suluhu), lakini haya hayajafanyika hapa kwetu, na yakikomaa pengine matokeo yake ni visasi vikubwa na maumivu makubwa hayo nayolalamikia ni chuki za kawaida sana tena madogo maana yamekaa kiimani zaidi yakibeba vitendo ndio huwa makubwa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…