Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

Tundu lissu ni nani Tanzania ? Watu wamefia vitani wakiitetea Tanzania Wewe unatuletea habari za lissu

Endeleeni kumdekeza huko ughaibuni kwa kumtumia kodi za Watanzania
Niambie kwanini nisifurahie mtu kama wewe ukifa kwa corona?
 
Vipi kuhusu yule aliyewafananisha watanzania wenzake na corona, yeye mbona ulikaa kimya
Akiugua yule sidhani kama watamwacha. Yatamkuta ya mangula pumbafu. Akipotea njia akafika mikononi mwa wenye mlengo wa haki yaani haponi. No siku mbili wanamtudisha kwao.

Na kale ka Iringa kaliko mdharirisha Dr. Hakaponi sidhani kama watakaacha. Maana sio kwa udharirishaji ule.

Unamdharau surgeon??? Na elimu yako ya kiswahili????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati magu anakataza watu kwenda kumuona lissu ile haikuwa roho mbaya?

😂😂😂 Wewe mbona unamtumia Lissu kuhalalisha Ujinga wako?

Lissu unayemuongelea hapa nna uhakika hakujui na kamwe hawezi kumsikia akiwish mtanzania mwenzake aumwe Corona.

Usimtumie Mheshimiwa Lissu kuonesha Ujinga wako na atasikitika Sana Akiona umeandika Upupu huu

Kwani Lissu alivyopigwa risasi mashule yalifungwa? Yes it was A Big Pain to the nation Tena kovu kubwa Sana tu lakini huwezi ukafananisha impact ya Corona na ya Lissu.

Yaaani look very pathetic mkuu
 
Hao ni Zaidi ya mashetani Kaka Mkubwa ila km watu wazima lazima tuhoji sababu iliyofikia au kupelekea kuombea wenzeo kufa kwa korona isije kuwa wao ni wamaliziaji tu maana tuliona kauli nyingi zilikosa kosa utu kwenye utawala wa huu kisingizio cha kutetea wanyonge nasikia pia Kuna katibu mwenezi chama fulani amewafananisha wapinzani na korona yote ya yote turudi kwenye utu wetu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Mtu unachokiandika, ndicho unacho kiwaza!, kuna watu, tunaishi nao, tunakula nao, tunalala nao, tukidhani ni binaadamu wenzetu, kumbe ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu unaombeaje binaadamu mwenzako afe kwa Corona?!. Can't believe this wickedness imewakuta Watanzania wenzetu!. Huu sio utu, sio ubinaadamu, ni ushetani!

Unaweza usiamini hili ninaloandika hapa lakini ni kweli kabisa, wakati dunia ikihangaika na janga la ugonjwa wa Corona linaliitesa dunia nzima tukiwepo sisi Tanzania, kuna baadhi ya wenzetu humu mitandaoni utu na ubinaadamu umewatoka wamekuwa sio watu tena, sio binaadam bali ni mashetani kwa kuombea wenzao sio tuu wapate Corona, bali wapate Corona na wafe kwa vifo vya Corona!.

Hili nimelishuhudia humu jf na mitandao mingine baadhi ya wenzetu waki andika ku wish wenzao wapate Corona na wafe kwa Corona kwa wengine kuwataja kabisa kwa majina mimi nikiwa ni mmoja wao na wengine kuwataja kwa majina ya utani au hata bila kutaji jina ula unajua ni nani!.

Lengo la bandiko hili sio mimi kulalamika kuwa kuna watu wananitaka nipate Corona, kwasababu mimi ni nobody, hata nikichomoka na Corona, it's only my wife, my kids na my family ndio wata suffer, bali kuna watu very wicked wana wish viongozi wetu fulani fulani wafe kwa Corona, kutokana na positions za hao viongozi, ikitokea kweli wakachomoka kwa Corona, taifa tuta suffer kwa kupigwa na double tragedy!.

Mimi ni miongoni mwa Watanzania wenye uwezo wa kitu kinachoitwa graphology ni uwezo wa kusoma maandishi ya watu, kisha ukabaini mwandishi alimdhamiria nini, hata akiandika neno "bora tuu afe kwa Corona ", bila kumtaja ni nani, kupitia graphology unajua ni nani alidhamiriwa afe!, japo huyo mwandishi anaweza kuwa hakuandika kwa kumtaja jina expressly kuwa nataka fulani afe kwa Corona, lakini kupitia uwezo huo wa graphology, then unatambua impliedly aliyedhamiriwa ni nani!.

To wish someone specific afe kwa Corona ni highest stages of wickedness, Watanzania siku zote ni watu wenye upendo, tunapendana na tunawapenda viongozi wetu, na hata chama chetu japo tunakilalamikia sana humu mitandaoni kuwa ndicho chanzo cha umasikini na madhila yote yanayolikuta taifa letu, lakini in reality, tunakipenda sana na kila mwaka huwa tunakichagua tena na tena mwaka hadi mwaka, na kama janga la Corona halitadumu muda mrefu na kuleta madhara makubwa, then mwezi October, 2020, tunakichagua tena, sasa iweje binadamu wenzetu, Watanzania wenzetu kuingiwa na roho ya ushetani wa ajabu kwa kuwa na wishful thinking ya kuombea viongozi wetu fulani fulani tegemewa, wafe kwa Corona?!.

Ajabu kubwa zaidi ni idadi ya members watakao toa likes kwa huyo mtu, inaonyesha jinsi tulivyo na kundi kubwa Watanzania wenzetu ambao ni wicked kwa kusupport hizo wicked ideas!, na kipimo rahisi kwa mashetani hawa, utakiona kwenye uchangiaji kwenye hili bandiko.

Swali la kujiuliza hivi ni kweli Watanzania watu tuliiokuwa na upendo wa ajabu zaidi hata ya upendo wa mshumaa, wa kumulikia wengine huku kwako unateketea, sasa tumefika hapa kuombeana vifo vya Corona?. Huu ni utu, ni Ubinaadamu au ni ushetani wa ajabu?.

Hivi kweli sisi Watanzania tumefikia stage ya kuishi na binadamu wenzetu wenye mawazo ya kishetani kama haya halafu tunaishi nao tukiendelea kula nao, kunywa nao na kulala nao na wengine hadi tunawapongeza!, hivi ushetani huu unatofauti yoyote na ule ushetani wa Sodoma na Gomorrah?!.

Ingekuwa kila kitu mtu anachokiwaza kinaandikwa kwenye paji la uso wake, hivyo nikikuambia ufunge macho na kuwish ulitaka mtu gani afe kwa Corona, amini usiamini, watu tungekuwa surprised kukuta mke ana wish mume ndio afe, mume ana wish mke ndio afe na nikiuliza ungewish kiongozi gani afe kwa Corona, majibu yangekuwa yanaandikwa usoni!, watu mngeshanga na ungeweza usiamini!.

Tiba Nambari One Duniani ni Imani, yaani faith, kwa janga kama la Corona ili liishe na lisilete madhara makubwa na maafa kwa Tanzania na duniani kwa ujumla, ni kama Watanzania na watu wote, ikiwa wote tuta wish kwa dhati ya mioyo yetu kumuomba Mungu kwa dhati, alipishie mbali, hili janga la Corona, lakini kitendo cha wengine tunasali, na kumuomba Mungu atuepushe na janga la Corona, huku kuna wenzetu wengine wao waki wish fulani apate Corona afe, kunapunguza nguvu ya sala zetu, huu sio Ubinaadamu, sio utu, ni ushetani!.

Hala hala kwa mashetani hawa, ingekuwa dua ls kuku linampata mwewe, saa hizi siku nyingi kuna watu tungekuwa ni historia, lakini Mungu sio Athumani, kila mtu atakufa siku yake Mungu aliyompangia tena kwa kifo kile kile mtu ulichopangiwa, kama mtu umepangiwa kufa kwa Corona, utakufa tuu kwa Corona and no one can do anything kuzuia, ili kitendo cha mtu kumwish mtu fulani afe kwa Corona, sheria ya karma my act kwa kanuni ya what goes around, comes around, wakati uki wish fulani afe kwa Corona, karma may act upon you na ku reverse your wishes on opposite directions, hiyo wish ikakurudia wewe na familia yako!.
Tupendane wandugu, na tuwishiane mema!.

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wasamehe Watanzania wenzetu waliomkaribisha shetani ndani yao na umtume Roho Mtakatifu wako, awasafishe na kuwatakasa with their evil thoughts and wickedness na kuliepusha taifa letu na janga la Corona.

Amen.

Paskali
🤮🤢
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Wewe mbona unamtumia Lissu kuhalalisha Ujinga wako?

Lissu unayemuongelea hapa nna uhakika hakujui na kamwe hawezi kumsikia akiwish mtanzania mwenzake aumwe Corona.

Usimtumie Mheshimiwa Lissu kuonesha Ujinga wako na atasikitika Sana Akiona umeandika Upupu huu

Kwani Lissu alivyopigwa risasi mashule yalifungwa? Yes it was A Big Pain to the nation Tena kovu kubwa Sana tu lakini huwezi ukafananisha impact ya Corona na ya Lissu.

Yaaani look very pathetic mkuu
Ilikuwa big pain kwa taifa na watu wapenda haki ila siyo nyinyi mashetani mliojaa huko Lumumba.

Kama ingekuwa big pain kwenu basi.

1. Hadi leo tungeshajua ni nani alihusika na lile tukio

2. Tungeshajua ni nani aling'oa cctv camera katika majengo yale ya serikali

3. Tungeshajua askari waliokuwa zamu siku hiyo walipelekwa wapi na na waliondolewa lindo kwa amri ya nani.

4. Kwanini watu walikatazwa kukusanyika kumuombea Lissu.

5. Kwanini mzuie hela za matibabu yake. Eti mkasema angetibiwa muhimbili angepewa hela. Ndugai alitibiwa muhimbili kipindi kile ameumwa?

Mwisho... Wewe ni mbumbumbu wa kutupwa.
 
Wafe tu kwa kweli... sitaki kuwa mnafiki; yeyote miongoni mwao akifa na kama bado mimi nitakuwa hai, sitaandika RIP bali RIH... yaani Rest In Hell.

Wa kazi gani?!

Hapa nazungumzia wale ambao muda wote wamesimama na serikali na Rais kutetea kila aina ya ujinga kwenye issue mzima ya coronavirus!!

Wakiambiwa nyungu inatibu corona, wanashabikia na kujifanya ni namna gani wanaifahamu nyungu na uwezo wake wakati siku zote hatukuwasikia wakizungumzia suala la nyungu kutibu corona hadi JPM alioposema!!

Ni wale ambao hata leo JPM akisema mkojo wa vikongwe ni tiba mujarabu ya corona, kama mazuzu vile yataunga mkono!!!

Hakuna namna kwa kweli... kama walikuwa wanaleta mizaha, wafe tu manake hata likija janga kubwa zaidi ya coronavirus, bado wataendelea watawala na mizaha yao kwenye serioous issues.

Hao watu ni useless, na ni coronavirus kwa jamii! Isitoshe, majority ni wale wale ambao walifurahi kweli kweli waliposikia Tundu Lissu kamiminiwa makumi ya risasi, na wakaja kuumia sana baada ya kuona hakufa!! Wengi wao hawana ubinadamu wowote mbele ya siasa!

Na ule utani wao wa kuwaambia watu wakajazane makanisani na misikitini eti kuomba corona iondoke, Mungu angetufanyia wepesi kuwaondoa wao manake ndio agents wakuu wa coronavirus... directly or indirectly kupitia wazimu wao!

Labda niwakumbushe tu kwamba, waliokufa na watakaokufa kwa coronavirus (probably nami ni mmoja wao), wengi wao ni victims wa mizaha iliyoletwa na JPM na Misukule yake!! Kila tuilipokuwa tunapiga kelele kuhusu mizaha inayofanywa na serikali, tuliishia kukejeliwa!!

Siku taifa litaanza kushambuliwa na mizinga, na mtatuambia "msiogope, ni vimondo tu hivyo" kwa sababu tu Rais kasema "ni vimondo tu hivyo"!
Kama ni mtihani ningekupa 100% .Wachangiaji wengi wamezichukua akili zao wakazitia mfukoni na kutumia za MTU mmoja.kazi kujipendekeza kutwa kucha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Wewe mbona unamtumia Lissu kuhalalisha Ujinga wako?

Lissu unayemuongelea hapa nna uhakika hakujui na kamwe hawezi kumsikia akiwish mtanzania mwenzake aumwe Corona.

Usimtumie Mheshimiwa Lissu kuonesha Ujinga wako na atasikitika Sana Akiona umeandika Upupu huu

Kwani Lissu alivyopigwa risasi mashule yalifungwa? Yes it was A Big Pain to the nation Tena kovu kubwa Sana tu lakini huwezi ukafananisha impact ya Corona na ya Lissu.

Yaaani look very pathetic mkuu
Safi sana
 
Ndugu zangu wa tz. Corona haiangakii vyama dini au makabila wale wanaoombea wenzao wafe sio poa we are in the sam path ataanza yy ww kesh hakun faida cha msing ni kushaur nn kifanyik kumuepuk huyu adui together we can..[emoji3577][emoji2532]


Fazz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabaka la watu maskini tena wa fikra hutawaliwa na wivu ama kijicho. Wao ukesha wakiwaombea mabaya ama mikosi binadamu wenzao. Bahati mbaya sana maombi yao Mungu huyageuza na kuwa baraka kwa walengwa. Huendelea na mfumo huu wa maisha mpaka wanazeeka wakiwa maskini. Hii ni dalili mojawapo ya tabaka hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Imagine unamtukana mtu ambae humjui. Alafu unaonekana ni muoga Sana si ungeadika tu "matako". Au unaogopa ban? Sasa Kama Ban Unaogopa Yale maandamano ya M4C ya kipindi kile uliyaweza Kweli?

Au ulikuwa hujazaliwa? Unaeza kuta najenga hoja na katoto cha la sita.

Anyway wewe endelea kuombea wenzako Corona. Sijakukataza.
Anajiona eti bonge la mjanja kumbe bonge la mjinga
 
Ilikuwa big pain kwa taifa na watu wapenda haki ila siyo nyinyi mashetani mliojaa huko Lumumba.

Kama ingekuwa big pain kwenu basi.

1. Hadi leo tungeshajua ni nani alihusika na lile tukio

2. Tungeshajua ni nani aling'oa cctv camera katika majengo yale ya serikali

3. Tungeshajua askari waliokuwa zamu siku hiyo walipelekwa wapi na na waliondolewa lindo kwa amri ya nani.

4. Kwanini watu walikatazwa kukusanyika kumuombea Lissu.

5. Kwanini mzuie hela za matibabu yake. Eti mkasema angetibiwa muhimbili angepewa hela. Ndugai alitibiwa muhimbili kipindi kile ameumwa?

Mwisho... Wewe ni mbumbumbu wa kutupwa.

Inasikitisha Sana mpaka Sasa hivi haujang'amua kuwa mimi sitetei ccm. It's a sign that you're an imbecile.

Alafu hayo maswali yako ilibidi uyapeleke kwenye Vyombo Vya Ulinzi na usalama kama unayojitanabaisha hapo kuwa Unapenda haki. Ulifanya Hivo? Sasa Unavyoniuliza mimi unaonesha ni jinsi gani you're a pain to your own head.

Maandamano tu ya Mange yalikushinda kuhudhuria alafu unasema unapenda haki. Mpenda haki tangu Lini akaomba mwananchi mwenzake apate Corona?

Kacheze Unakochezaga
 
Kuna boss wetu ana corona, kalazwa huko na hali yake si nzuri.
Hapa watu wanaombea afee tu.

Katesa watu sana, kafukuza watu kazi kwa makosa ya kawaida...

Kawapiga watu barua zisizo nanmaana.
Watu wana njaa kipindi chake....

Wengine maisha yao yamekwenda mramba sababu yake....

Hao unao wasemea Pascal Mayalla hawana tofauti na sisi.
 
Back
Top Bottom