Uchaguzi 2020 Tukielekea kwenye maandalizi ya Mdahalo wa wagombea tupitie hotuba zao walizowahi kuzitoa

Hapo kunamgombea au Mtekelezaji wa Matakwa ya Jinsia moja!!
Yaani muombea Mabaya nchi yake naye mgombea
Magufuli Akipata 90% Atakuwa bado Kakosa Ushindi
Kaa hapohapo usubiri ujionee anavyopata 43% ndio utaelewa nini maana ya Uchaguzi, yaani labda atumie polisi
 
Yapo mafanikio mengi ambayo kampeni zikianza watayazungumza sana.
Mojawapo ni mafanikio ya KUOKOTA VICHWA VYA TRENI BANDARINI.
Hilo halijapata kutokea popote duniani zaidi ya hapa kwetu tena awamu ya tano
Inawezekana hivyo vichwa vya treni vilisombwa na mawimbi kutoka ujerumani hadi bandarisalama. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magufuli akiwa Mkutano wa SADC

 
The bitter truth is that " Magufuli will lead the country for next 5 years"

Hizi ngonjera zenu Ni katika kujifurahisha tu, pia Lissu hafai hata kidogo kupewa madaraka ya urais!
 
The bitter truth is that " Magufuli will lead the country for next 5 years"

Hizi ngonjera zenu Ni katika kujifurahisha tu, pia Lissu hafai hata kidogo kupewa madaraka ya urais!
Hata miaka 20 anaweza kuongoza tu haina shida, ila mwaka huu ni Lissu
 
Mmoja hawezi midahalo hawezi jibu hoja yeyeto siriasi,ataishia kuwasingizia mabeberu hata Mambo ya kisera
 
Wewe utamuogopa mtu mrefu unategemea nilini atakuwa mfupi? Hapa ni jino kwa jino tu anaye shinda ashinde kihalali na anaye shindwa ashindwe kihalali
Hii ndio namna ya kudili nao
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…