Buhaya boy
Member
- Jun 16, 2013
- 88
- 16
Wanajamvi polen na majukumu ya ujenzi wa Taifa.Mimi ninaomba wajasiliamali tushirikiane kwa sisi wenyewe kuuziana bidhaa zetu mf:mimi ni mtengenezaji wa batiki nahitaji vitambaa vya pamba,rang za batik(dye),vibao vya urembo n.k .Hivyo basi kwa washonaji na wauzaji wa Vitambaa mkipenda pia mnaweza kunichangia .Tuamke tuchangiane wana jamvi kabla ya kwenda kwenye jamii.PAMOJA TUNAWEZA.

Mjasiriamali hongera kwa hatua uliyofikia. mimi nahitaji mtu wa kunifundisha jinsi ya kutengeneza batiki za mishumaa, mikunjo ya vikoi na tie and dye.Napatikana mikoani ila nimepanga kuja dar kwaajili hiyo. niambie naweza kuja kujifunza kwako. elimu ni gharama niko tayari kulipia gharama za mafunzo
mambo ya soap uliacha kufundisha.Nipo tayari kuja na kila kitu kumfundisha yeyote alipo ila ni vyema muwe kundi.0717539573 Email:stanslausd@yahoo.com.
mambo ya soap uliacha kufundisha.
Mi Ninachoya/ Rozela Natafuta Soko Nipo Singida, Alafu Wa Batiki Nipe Bei Zako Ili Nipate Chache Nisupply Huku Kwetu