Buhaya boy
Member
- Jun 16, 2013
- 88
- 16
Wanajamvi polen na majukumu ya ujenzi wa Taifa.Mimi ninaomba wajasiliamali tushirikiane kwa sisi wenyewe kuuziana bidhaa zetu mf:mimi ni mtengenezaji wa batiki nahitaji vitambaa vya pamba,rang za batik(dye),vibao vya urembo n.k .Hivyo basi kwa washonaji na wauzaji wa Vitambaa mkipenda pia mnaweza kunichangia .Tuamke tuchangiane wana jamvi kabla ya kwenda kwenye jamii.PAMOJA TUNAWEZA.