papag
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 1,352
- 2,036
SMALL MIND CREATE A GAP–LAKINI VISION KUBWA HUUNDA MFUMO UNAOFANYA KILA UPANDE USHINDE
Kama Mtanzania mwenzako, wacha nami nitie neno kwa kutumia kalamu ya wino wangu.
Nimesikiliza hoja.
Nimesoma maoni.
Nimeangalia reaction za watu waliokubaliana na waliopinga.
Na nimegundua kitu kimoja;
Tatizo letu si kwamba hatuna maoni. Tatizo ni kwamba mara nyingi tunapigana kuhusu nani yuko sahihi badala ya kujiuliza, “Tunawezaje kutengeneza mfumo ambao unafanya kila upande uwe sahihi kwa wakati mmoja?”
Hoja yangu leo ni kuhusu tamko la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, kuhusu mabasi ya masafa marefu kutumia Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi Luis, badala ya kuendelea kupakia na kushusha abiria katika maeneo ya katikati ya jiji kama Shekilango.
Kwa taarifa zilizotolewa, LATRA imekazia utekelezaji wa utaratibu huo na kueleza kuwa matumizi ya vituo rasmi ni sehemu ya masharti ya leseni za waendeshaji; mabasi yasiyokuwa na vibali maalum yanatakiwa kufuata vituo vilivyopangwa.
Kwa upande mwingine, baadhi ya abiria na wadau wamehoji gharama, urahisi wa kufika Mbezi, muda wa safari na upatikanaji wa usafiri wa kuunganisha abiria na maeneo mengine ya Dar es Salaam.
Hapa ndipo ninapoona tunahitaji kutoka kwenye mjadala wa...
“Agizo ni sahihi” au Agizo si sahihi.”
Tuingie kwenye swali kubwa zaidi ambalo ndilo msukumo wangu kuamua kushare hiki nawe;
"Tunawezaje kutekeleza utaratibu huu bila kumuumiza abiria, bila kuua economics ya kampuni za mabasi, na bila kupoteza lengo la Serikali la kupanga Jiji?”
Kwa sababu hii si issue ya mabasi pekee.
Ni chain of mutual relationships.
Yaani ipo hivi;
Serikali → Stendi → Kampuni za mabasi → Abiria → Usafiri wa ndani → Biashara → Ajira → Mapato → Uchumi wa Jiji.
Ukivuka sehemu moja bila kuimarisha nyingine, mfumo wote unaweza kuumia.
Na haya ndiyo mawazo yangu ambayo huenda ikawa mwarobaini sahihi kwa kila upande.
01: MAGUFULI TERMINAL ISIWE TU “MWISHO WA SAFARI” IWE TRANSPORT HUB
Hili ndilo jambo la kwanza.
Kama tunataka mabasi ya masafa marefu yaishie Magufuli Bus Terminal, basi kituo hicho kinapaswa kufanya kazi kama transport hub, si parking ya mabasi yenye abiria wanaoshushwa na kuambiwa;
“Sasa tafuta usafiri mwingine.”
Katika mifumo bora ya usafiri duniani, terminal haichukuliwi kama sehemu ya kuingiza na kutoa mabasi pekee.
Inatakiwa kuwa sehemu ya interchange.
World Bank inaeleza kwamba terminal nzuri inapaswa kuwezesha kuunganisha routes na modes mbalimbali za usafiri, na kutoa reliability na predictability ya huduma.
Singapore imeenda mbali zaidi.
Integrated Transport Hubs zake zinaunganisha mabasi na MRT pamoja na huduma nyingine za eneo husika ili abiria aweze kubadilisha usafiri kwa urahisi.
Kwa hiyo ndugu yangu;
Magufuli Terminal isiwe “destination”.
Iwe;
Destination + Connection + Convenience + Commerce.
02: TENGENEZA SHUTTLE SYSTEM YA KUUNGANISHA MAGUFULI NA KANDA MBALIMBALI ZA DAR
Hili ndilo jibu la moja kwa moja kwa hofu ya abiria.
Kama basi kutoka Mwanza limemleta abiria Mbezi Luis, abiria huyo hapaswi kuanza kutafuta daladala kwa kubahatisha.
Anapaswa kuwa na feeder/shuttle network iliyo rasmi.
Kwa mfano;
Magufuli → Ubungo → Kariakoo
Magufuli → Mwenge → Sinza
Magufuli → Kimara → Posta
Magufuli → Tegeta → Mikocheni
Magufuli → Mbagala
Na routes nyingine kulingana na data halisi ya demand.
DART tayari ina mfano wa concept ya feeder services zinazowapeleka abiria kutoka maeneo ya nje kwenda kwenye vituo vikuu vya mfumo wa BRT.
Kwa hiyo hatuhitaji kuanza kufikiria kutoka sifuri.
Tunachohitaji ni scaling na integration.
03: ABIRIA ASIJE KULIPA MARA MBILI KWA KOSA LA MFUMO
Hili ni muhimu sana.
Kama zamani abiria alikuwa analazimika kulipia
Safari ya mkoa fulani→ Shekilango
Halafu sasa analazimika;
Safari ya mkoa → Magufuli
kisha;
Magufuli → destination yake
gharama yake ya mwisho inaweza kuongezeka.
Na hapo ndipo resistance ya abiria inapoanza.
Kwa hiyo mamlaka ziangalie uwezekano wa integrated fare system.
Kwa mfano;
Abiria anayeshuka Magufuli na kuendelea na shuttle rasmi aweze kupata connection kwa gharama iliyopangiliwa, badala ya kila segment kuwa gharama mpya isiyodhibitiwa.
Hii ndiyo philosophy ya transport integration;
Usimlazimishe abiria kubeba gharama ya fragmentation ya mfumo.
04: WAMILIKI WA MABASI WASIANGALIWE KAMA WAPINZANI WAINGIZWE KWENYE SOLUTION
Hapa ndipo ninapoona tunahitaji leadership ya kizazi kipya.
Mmiliki wa basi ana business.
Ana:
Kwa hiyo ukimwambia tu...
“Kuanzia kesho tumia hapa.”
bila kusikiliza economics yake, unaweza kuwa umeunda compliance lakini huenda hujaunda sustainability.
Kwa nini tusifanye;
Government + LATRA + Bus Owners + DART + City Authorities + Passenger Representatives
wakae pamoja na ku-design mfumo?
Si kila stakeholder apewe nafasi ya kupinga.
Kila stakeholder apewe nafasi ya kusema;
“Hili ndilo litakalofanya mfumo ufanye kazi.”
05: TUMIE DATA BADALA YA HISIA
Hii ndiyo sehemu ambayo Tanzania tunaweza kuifanya vizuri zaidi.
Tuwe na data ya;
Kisha route za shuttle zijengwe kwa passenger demand, si kwa intuition.
Kwa sababu terminal nzuri sio ile inayopendeza kwa macho.
Terminal nzuri ni ile inayofuata movement ya watu.
06: MAGUFULI TERMINAL IWE ECONOMIC ECOSYSTEM
Hapa kuna opportunity kubwa sana.
Stendi inaweza kuwa zaidi ya mabasi.
Inaweza kuwa;
Transport + Retail + Food + Banking + Mobile Money + Logistics + Accommodation + Advertising + Parcel Services + Tourism + Digital Services.
JICA inaeleza kwamba vituo vya mabasi Tanzania vinaweza kuwa vituo vya abiria, biashara ndogo, huduma, ticketing na pia chanzo cha mapato kwa mamlaka za mijini.
Kwa hiyo tusifikirie;
“Tutawapeleka mabasi Magufuli.”
Tufikirie namna hii...
“Tutabadilisha Magufuli kuwa economic gateway ya Dar es Salaam.”
Hapo ndipo terminal inaanza kujilipa zaidi.
07: SERIKALI ISIMAMIE UBORA WA HUDUMA, SI ENEO PEKEE
Kuna tofauti kubwa kati ya...
"Regulation of location na Regulation of service quality".
Serikali ina haki ya kupanga mfumo wa usafiri.
Lakini mfumo mzuri unapaswa pia kuangalia:
World Bank inaonyesha kuwa reliability ni sehemu muhimu ya terminal inayofanya watu wawe na confidence kwenye public transport system.
Kwa hiyo KPI za utekelezaji zisiwe;
“Mabasi yote yamehamia Magufuli.”
KPI ziwe:
“Mabasi yamehamia Magufuli NA abiria wamepata huduma bora zaidi.”
Hapo ndipo tunapima policy kwa matokeo.
08: TENGENEZA TRANSITION PERIOD YA KIMAANDELEO, SI SHOCK
Ninaunga mkono principle ya kuwa na mfumo rasmi.
Lakini implementation inaweza kuwa na stages.
Kwa mfano;
Phase 1 — Integration
Magufuli + shuttle + route mapping.
Phase 2 — Incentives
Wamiliki wanaofuata mfumo wapate mazingira bora ya biashara.
Phase 3 — Full enforcement
Baada ya alternatives kuwa functional.
Hii sio kusema sheria isitekelezwe.
Ni kusema;
Compliance becomes easier when the system itself makes compliance economically rational.
Mamlaka inaweza kuwa na nguvu ya enforcement.
Lakini mfumo mzuri unafanya mtu ataka kufuata utaratibu, si kuufuata kwa sababu anaogopa adhabu pekee.
09: TUACHE KUCHAGUA MSHINDI—TUJENGE SYSTEM AMBAYO KILA MTU ANASHINDA
Hili ndilo suluhisho langu kubwa.
Serikali ishinde...
Kwa sababu congestion inapungua.
LATRA ishinde...
Kwa sababu regulation inakuwa rahisi kusimamia.
Stendi ishinde...
Kwa sababu capacity yake inatumika.
Mmiliki wa basi ashinde...
Kwa sababu anapata mfumo predictable wa kupakia na kushusha abiria.
Abiria ashinde...
Kwa sababu safari yake inakuwa salama, affordable na predictable.
Waendeshaji wa usafiri wa ndani washinde...
Kwa sababu wanapata passenger flow mpya.
Biashara ndogo zishinde...
Kwa sababu passenger traffic inaleta economic activity.
Huu ndiyo ninauita;
CHAIN OF MUTUAL VALUE.
KWA NINI NASEMA HILI SI WAZO LA KIJINGA?
Kwa sababu dunia yenye mifumo mizuri ya usafiri haijaishia kusema...
“Watu wote watumie terminal moja.”
Imeenda hatua nyingine;
“Tutafanya terminal hiyo iwe connected enough kiasi kwamba mtu asione kama amepewa adhabu kwa kuitumia.”
London ni mfano mzuri wa principle hii.
Victoria Coach Station inahudumia safari za coaches za ndani ya UK na Ulaya, lakini pia ina connections na National Rail, Tube na bus services.
Singapore nayo imejenga Integrated Transport Hubs zinazounganisha bus interchanges na MRT na developments nyingine.
Hivyo lesson si kama...
“Tanzania i-copy London.”
HAPANA..!
Lesson ni...
Copy the principle, localise the execution.»
Tanzania ina mazingira yake.
Dar es Salaam ina geography yake.
Abiria wetu ana income yake.
Traffic yetu ina tabia yake.
Transport operators wetu wana economics yao.
Kwa hiyo tunahitaji Tanzanian solution built from global principles.
Na kwa upekee;
A SMALL MIND CREATES A GAP
Kumbuka kuna aina mbili za thinking.
Small thinking inauliza;
“Nani ashinde?”
Big thinking inauliza;
“Tunawezaje kutengeneza mfumo ambao kila stakeholder anapata value?”
Small thinking inaona...
Magufuli VS Shekilango.
Big thinking inaona...
Magufuli + Shekilango + DART + LATRA + bus operators + passengers + city mobility = one integrated transport ecosystem.
Na hapo ndipo ninapofikiri mjadala wetu unatakiwa kwenda.
Si kupinga Serikali kwa sababu tu ni Serikali.
Si kuunga mkono kila agizo kwa sababu tu limetoka Serikali.
Bali kujiuliza hivi;
“Agizo hili likitekelezwa, tunataka Dar es Salaam iweje baada ya miaka 5?”
Kama vision ni kupunguza congestion...
let's build connectivity.
Kama vision ni kuongeza matumizi ya Magufuli Terminal...
let's improve the passenger experience.
Kama vision ni kulinda usalama...
let's strengthen regulation and data.
Kama vision ni kulinda biashara za transport operators...
let's understand their economics.
Kama vision ni kumlinda abiria...
let's measure affordability, accessibility and time.
Kwa sababu mwisho wa siku,
Sera nzuri sio ile inayotengeneza compliance pekee.
Sera nzuri ni ile inayotengeneza matokeo yanayokubalika na mfumo mzima.
Na kwa mtazamo wangu, Magufuli Bus Terminal inaweza kuwa zaidi ya stendi.
Inaweza kuwa gateway ya kisasa ya mobility na biashara ya Dar es Salaam.
Lakini hilo halitatokea kwa amri pekee.
Litahitaji architecture ya MFUMO.
Na architecture hiyo inapaswa kujengwa na;
LATRA + DART + Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam + wamiliki wa mabasi + waendeshaji wa usafiri wa ndani + abiria.
Mhe. Albert Chalamila, Land Transport Regulatory Authority - LATRA, Wizara Ya Mambo Ya Ndani na wadau wote wa usafiri;
Hoja yangu si kwamba msimamie chini agizo.
Hoja yangu ni kwamba tusimame juu ya agizo na tuunde mfumo.
Kwa sababu vision ya kweli haimlazimishi mmoja ashinde kwa kumfanya mwingine apoteze.
Vision ya kweli huunda mfumo ambao matokeo yake yanafanya kila upande uwe na sababu ya kusema; “Ndiyo, huu mfumo unafanya kazi.”
21.08.2026
Dar Es Salam
It's me,
Your humble friend
Msirikale L Rama
I build Sales Systems for SMEs that want predictable customer acquisition.

- Fuel costs.
- Driver costs.
- Maintenance.
- Insurance.
- Salaries.
- Taxes.
- Terminal charges.
- Marketing.
- Empty-seat risk.
- Customer acquisition costs.
Kwa hiyo ukimwambia tu...
“Kuanzia kesho tumia hapa.”
bila kusikiliza economics yake, unaweza kuwa umeunda compliance lakini huenda hujaunda sustainability.
Kwa nini tusifanye;
Government + LATRA + Bus Owners + DART + City Authorities + Passenger Representatives
wakae pamoja na ku-design mfumo?
Si kila stakeholder apewe nafasi ya kupinga.
Kila stakeholder apewe nafasi ya kusema;
“Hili ndilo litakalofanya mfumo ufanye kazi.”
05: TUMIE DATA BADALA YA HISIA
Hii ndiyo sehemu ambayo Tanzania tunaweza kuifanya vizuri zaidi.
Tuwe na data ya;
- Mabasi mangapi yanaingia Dar kila siku?
- Abiria wangapi wanashuka?
- Wapi wanashuka?
- Saa gani?
- Routes zipi zina demand kubwa?
- Ni asilimia gani wanaenda Kariakoo?
- Ni wangapi wanaenda Ubungo?
- Ni wangapi wanaenda Mbagala?
- Ni wangapi wanaenda Tegeta?
- Ni gharama gani ya transfer?
- Ni muda gani wanatumia kutoka terminal kwenda destination?
Kisha route za shuttle zijengwe kwa passenger demand, si kwa intuition.
Kwa sababu terminal nzuri sio ile inayopendeza kwa macho.
Terminal nzuri ni ile inayofuata movement ya watu.
06: MAGUFULI TERMINAL IWE ECONOMIC ECOSYSTEM
Hapa kuna opportunity kubwa sana.
Stendi inaweza kuwa zaidi ya mabasi.
Inaweza kuwa;
Transport + Retail + Food + Banking + Mobile Money + Logistics + Accommodation + Advertising + Parcel Services + Tourism + Digital Services.
JICA inaeleza kwamba vituo vya mabasi Tanzania vinaweza kuwa vituo vya abiria, biashara ndogo, huduma, ticketing na pia chanzo cha mapato kwa mamlaka za mijini.
Kwa hiyo tusifikirie;
“Tutawapeleka mabasi Magufuli.”
Tufikirie namna hii...
“Tutabadilisha Magufuli kuwa economic gateway ya Dar es Salaam.”
Hapo ndipo terminal inaanza kujilipa zaidi.
07: SERIKALI ISIMAMIE UBORA WA HUDUMA, SI ENEO PEKEE
Kuna tofauti kubwa kati ya...
"Regulation of location na Regulation of service quality".
Serikali ina haki ya kupanga mfumo wa usafiri.
Lakini mfumo mzuri unapaswa pia kuangalia:
- Safety.
- Accessibility.
- Affordability.
- Reliability.
- Customer experience.
- Time.
- Connectivity.