MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Mwambie mkuu, au alitaka kocha akamsaidie Manula kudaka,Aende wapi........ana familia kama ww huyo.
Hana muda mrefu huyu kocha tusiwe wanafkiKocha unamwanzishaje Sakho?
Unamwachaje Baleke nje?Unamsahau Phiri nje na unajidai huoni?!!
Mimi binafsi sina imani na makocha wazungu,ni wapumbavu sana
Mnapuyanga tu kabla ujamlaumu kocha kwanza angalia aina ya usajili ulioufanya, ukipanda bangi usitegemee kuvuna mahindi, watu wanafanya usajili wewe unakwenda kuvizia reject za wakina sawadogo? Na bado unataka upate matokeo the same na wenzakoTangu ujio wa huyu Kocha Robertinho Simba kiwango chake kinazidi kwenda chini.
Tukumbuke Kocha wetu Mgunda hatukufungwa mechi yoyote kwenye kampeni ya kuingia makundi ligi ya mabingwa Afrika.
Tulimuua kule kule kwao Nyasa big bullets,
Na tukamuua tena team kubwa kule Angola akiwa nyumbani kwake na wakeze.
Huyu Mwamba Robertinho mpaka Leo hatujui mpira Simba inaoucheza, hakuna formation, hakuna mipango, viwango vya wachezaji havikui?
Laiti tungempa uvumilivu na Imani kwa Kocha wetu mzawa basi tungekuwa vizuri kuliko tulivyo Leo.
Tukifungwa haondoke
Amekufa Al Ahly ndio itakuwa Raja?Sometimes tuwe na heshima kumfananisha Nyasa Big bullet na Raja club athletic ni utovu wa nidhamu.
We ndo umeongea ukweli,bado sijaona kikosi cha kuogopeshaMechi hii hata mgunda angekua kocha tungefungwa
mgunda angebaki kama kocha mkuu tungelaumu pia..Tangu ujio wa huyu Kocha Robertinho Simba kiwango chake kinazidi kwenda chini.
Tukumbuke Kocha wetu Mgunda hatukufungwa mechi yoyote kwenye kampeni ya kuingia makundi ligi ya mabingwa Afrika.
Tulimuua kule kule kwao Nyasa big bullets,
Na tukamuua tena team kubwa kule Angola akiwa nyumbani kwake na wakeze.
Huyu Mwamba Robertinho mpaka Leo hatujui mpira Simba inaoucheza, hakuna formation, hakuna mipango, viwango vya wachezaji havikui?
Laiti tungempa uvumilivu na Imani kwa Kocha wetu mzawa basi tungekuwa vizuri kuliko tulivyo Leo.
Tukifungwa haondoke
Sio mashabiki hata Ulaya unakopasujudia Kocha akifanya vibaya anafukuzwaMkishafungwa ndo mnageuka wachambuzi,soka la bongo linaharibiwa na mashabiki pia,kuna shabiki alileta uzi kwamba simba wanatuchua kombe la CAF
Approach ya Kocha toka mwanzo ni mbaya.We ndo umeongea ukweli,bado sijaona kikosi cha kuogopesha