Tukifungwa hii mechi na kocha afukuzwe

Tukifungwa hii mechi na kocha afukuzwe

MWANAHARAMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
4,041
Reaction score
10,699
Tangu ujio wa huyu Kocha Robertinho Simba kiwango chake kinazidi kwenda chini.

Tukumbuke Kocha wetu Mgunda hatukufungwa mechi yoyote kwenye kampeni ya kuingia makundi ligi ya mabingwa Afrika.

Tulimuua kule kule kwao Nyasa big bullets,
Na tukamuua tena team kubwa kule Angola akiwa nyumbani kwake na wakeze.

Huyu Mwamba Robertinho mpaka Leo hatujui mpira Simba inaoucheza, hakuna formation, hakuna mipango, viwango vya wachezaji havikui?

Laiti tungempa uvumilivu na Imani kwa Kocha wetu mzawa basi tungekuwa vizuri kuliko tulivyo Leo.

Tukifungwa haondoke
 
Binafsi sio muumini wa robertinho hata tuchukue kombe lolote ......

nimekua silikubali soka analotaka kutuletea msimbazi .........

Sio kila kocha atafundisha kila timu ......kuna timu hazitaki formation za ajabu ajabu ..........hata kama ni kocha mkubwa vipi hutokaa uifundishe hiyo timu ...mfano FC Barcelona.

timu imekua haieleweki
 
Kocha unamwanzishaje Sakho?
Unamwachaje Baleke nje?Unamsahau Phiri nje na unajidai huoni?!!

Mimi binafsi sina imani na makocha wazungu,ni wapumbavu sana
 
Tangu ujio wa huyu Kocha Robertinho Simba kiwango chake kinazidi kwenda chini.

Tukumbuke Kocha wetu Mgunda hatukufungwa mechi yoyote kwenye kampeni ya kuingia makundi ligi ya mabingwa Afrika.

Tulimuua kule kule kwao Nyasa big bullets,
Na tukamuua tena team kubwa kule Angola akiwa nyumbani kwake na wakeze.

Huyu Mwamba Robertinho mpaka Leo hatujui mpira Simba inaoucheza, hakuna formation, hakuna mipango, viwango vya wachezaji havikui?

Laiti tungempa uvumilivu na Imani kwa Kocha wetu mzawa basi tungekuwa vizuri kuliko tulivyo Leo.

Tukifungwa haondoke
Mnapuyanga tu kabla ujamlaumu kocha kwanza angalia aina ya usajili ulioufanya, ukipanda bangi usitegemee kuvuna mahindi, watu wanafanya usajili wewe unakwenda kuvizia reject za wakina sawadogo? Na bado unataka upate matokeo the same na wenzako
 
Mkishafungwa ndo mnageuka wachambuzi,soka la bongo linaharibiwa na mashabiki pia,kuna shabiki alileta uzi kwamba simba wanatuchua kombe la CAF
 
Tangu ujio wa huyu Kocha Robertinho Simba kiwango chake kinazidi kwenda chini.

Tukumbuke Kocha wetu Mgunda hatukufungwa mechi yoyote kwenye kampeni ya kuingia makundi ligi ya mabingwa Afrika.

Tulimuua kule kule kwao Nyasa big bullets,
Na tukamuua tena team kubwa kule Angola akiwa nyumbani kwake na wakeze.

Huyu Mwamba Robertinho mpaka Leo hatujui mpira Simba inaoucheza, hakuna formation, hakuna mipango, viwango vya wachezaji havikui?

Laiti tungempa uvumilivu na Imani kwa Kocha wetu mzawa basi tungekuwa vizuri kuliko tulivyo Leo.

Tukifungwa haondoke
mgunda angebaki kama kocha mkuu tungelaumu pia..
Mi naona team ipangwe upya usajili uwe mnzuri.
 
Mkishafungwa ndo mnageuka wachambuzi,soka la bongo linaharibiwa na mashabiki pia,kuna shabiki alileta uzi kwamba simba wanatuchua kombe la CAF
Sio mashabiki hata Ulaya unakopasujudia Kocha akifanya vibaya anafukuzwa
 
We ndo umeongea ukweli,bado sijaona kikosi cha kuogopesha
Approach ya Kocha toka mwanzo ni mbaya.

Wachezaji hawana morali, hakuna pressing ya maana kuanzia juu.

Raja wamerelax unatarajia nini?
 
Back
Top Bottom