Duu utaazima msamba wa tembo?Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
HahahahahahaaaahaaaGari ya maji taka itakua inamfuatilia kwa nyuma, ni fursa kwao...[emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Uliona mechi yetu dhidi ya Uganda first leg nyumbani kwao? Walifanya nini? Tena tulikuwa tuwazabue kwao kama unaikumbuka vema ile mechiRoho inaniuma hatuna kikosi cha kushindana.
Mfano mzuri tupangwe kundi moja na Senegal, Uganda (hawahawa tuliowafunga 3-0), na Algeria unazani nini tutakipata?
Ni vyema tukawa na kikosi cha kishindani ambacho tuko na hakika nacho kuokota points hata mbili kule.
Nawapongeza kwa walichokifanya so far
Usikazie sana ,huo ni mzuka tuuu wa Taifa kushinda .Aisee
Unaanza zoezi la kunya SAA ngapi,??mashabiki wako tunakusubiria kwa hamu,tunataka kila mnyo mmoja size ya fenesi,sawa mkuuYani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Unapopiga hatua moja kwenda nyingine, kuna vitu vingi sana una gain hasa kwenye mpira, Hii Tanzania ulio iona leo haijafika hatua hii tangu miaka ya 80, Hivyo anapoenda kupambana na hao senegali au algeria ni bora kuliko angekuwa mtazamaji.Roho inaniuma hatuna kikosi cha kushindana.
Mfano mzuri tupangwe kundi moja na Senegal, Uganda (hawahawa tuliowafunga 3-0), na Algeria unazani nini tutakipata?
Ni vyema tukawa na kikosi cha kishindani ambacho tuko na hakika nacho kuokota points hata mbili kule.
Nawapongeza kwa walichokifanya so far
Hahahaha poa mkuuUsikazie sana ,huo ni mzuka tuuu wa Taifa kushinda .
Nataka jamaa akunye
Haya kaa vizuri nikutawaze Libolo FCYani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa