Tukifuzu AFCON mechi ya leo nakunya kuanzia Mwenge hadi uwanja wa ndege

Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa

Ushaanza kunya? Nije na camera
 
Roho inaniuma hatuna kikosi cha kushindana.

Mfano mzuri tupangwe kundi moja na Senegal, Uganda (hawahawa tuliowafunga 3-0), na Algeria unazani nini tutakipata?
Ni vyema tukawa na kikosi cha kishindani ambacho tuko na hakika nacho kuokota points hata mbili kule.
Nawapongeza kwa walichokifanya so far
Uliona mechi yetu dhidi ya Uganda first leg nyumbani kwao? Walifanya nini? Tena tulikuwa tuwazabue kwao kama unaikumbuka vema ile mechi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Unaanza zoezi la kunya SAA ngapi,??mashabiki wako tunakusubiria kwa hamu,tunataka kila mnyo mmoja size ya fenesi,sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho inaniuma hatuna kikosi cha kushindana.

Mfano mzuri tupangwe kundi moja na Senegal, Uganda (hawahawa tuliowafunga 3-0), na Algeria unazani nini tutakipata?
Ni vyema tukawa na kikosi cha kishindani ambacho tuko na hakika nacho kuokota points hata mbili kule.
Nawapongeza kwa walichokifanya so far
Unapopiga hatua moja kwenda nyingine, kuna vitu vingi sana una gain hasa kwenye mpira, Hii Tanzania ulio iona leo haijafika hatua hii tangu miaka ya 80, Hivyo anapoenda kupambana na hao senegali au algeria ni bora kuliko angekuwa mtazamaji.
 
Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Haya kaa vizuri nikutawaze Libolo FC

wali nazi maharage nazi
 
Back
Top Bottom